pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 17,660
- 13,719
Ni mwendawazimu pekee anaeweza kuja na hoja za hovyo na kijinga kama hii! Shame! kwendaaaaaaaaaaaaaaaa!
Hii post imeandikwa na robot la Lumumba, wala siyo ya kuijadili. Marobot yametengenezwa kufanya kitu kimoja na wala hayaruhusiwi kufikiri. Mfano ni kama zile robot za kufungua milango ya majumba ya kisasa au Mahotelini. Yamesetiwa yaki sense image mlango unafunguka. Kwa hiyo hata kama mtu anapita mbali haingii ndani yanafunguka tu. Yenyewe kutwa nzima nikufungua mlango hata yaki sense mjusi anapita yanafunguka tu. Hili linalojiita johnthebaptist nalo ni robotIkumbukwe kuwa ni takribani 20% ya wananchi ndio walisema wanapendelea mfumo wa vyama vingi uanzishwe nchini na 80% waliukataa kwa madai kuwa kwa wakati ule taifa halikuhitaji na wala halina wapinzani wa "kweli".
Baba wa taifa akasema wachache wapewe na wengi wasikilizwe, ndipo ukaanzishwa huu Upinzani wa ruzuku.
Yaani wapinzani wanapiga hesabu za kujinufaisha wao na "matumbo tumbo" yao ndio maana hata sasa wamekuwa watu wa kuhamahama kufuata fursa.
Mchungaji Mtikila aliwahi kuhamia CHADEMA ili tu awe Mbunge wa Ludewa lakini wananchi wakamkataa akarudi kwenye DP yake.
Babu Duni Haji alihamia CHADEMA ili tu aweze kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania.
Mifano ni mingi na hao ndio aina ya wapinzani tulionao ambao sasa wanaiomba CCM iwaletee Tume huru ya uchaguzi.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Kama kweli muna waiga China na nimarafiki zenu kwa kilaa kitu kwanini mushindwe kuwasaidia mchango wa japo elfu 10 wakakabiliana na janga la corona au urafiki wenu niwakuwavisha sare za chama na kofia za chama tuu wacheni unafiki munashindwa na Comoro ambao hawajuani ndewe wala sikio wamechangiaKm China wameweza na chama kimoja Kwanini sisi tusiwaige?
Kizazi cha sasa sicho cha sawa na cha enzi za mwalimu hichi kina global vision kile cha mwalimu akili zao zilifungiwa kwenye box hakikuwaza nje ya fikra za mwenyekiti. Vyama vingi vilikuwepo hata kabla ya Uhuru ni Nyerere ndie alivipiga marufuku ili kuusika ujamaa nchini ( yaani mfumo wa kuwafanya watu wawe masikini ili uwatawale) na wote waliopinga mawazo yake aliwasomesha namba yaani kulimia meno aliwafunga kina maalimu seif,bibi Titi,James Mapalala,wengine walikimbia nchi mfano Kambona ndie Lissu kwa mfano wa sasa,wengine waliwekwa vizuizini yaani uruhusiwi kwenda nje ya kijiji chako bila amri ya DC au polisi mfano kina Tuntemeke Sanga, Abood Jumbe,Kassanga Tumbo,nk.Ikumbukwe kuwa ni takribani 20% ya wananchi ndio walisema wanapendelea mfumo wa vyama vingi uanzishwe nchini na 80% waliukataa kwa madai kuwa kwa wakati ule taifa halikuhitaji na wala halina wapinzani wa "kweli".
Baba wa taifa akasema wachache wapewe na wengi wasikilizwe, ndipo ukaanzishwa huu Upinzani wa ruzuku.
Yaani wapinzani wanapiga hesabu za kujinufaisha wao na "matumbo tumbo" yao ndio maana hata sasa wamekuwa watu wa kuhamahama kufuata fursa.
Mchungaji Mtikila aliwahi kuhamia CHADEMA ili tu awe Mbunge wa Ludewa lakini wananchi wakamkataa akarudi kwenye DP yake.
Babu Duni Haji alihamia CHADEMA ili tu aweze kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania.
Mifano ni mingi na hao ndio aina ya wapinzani tulionao ambao sasa wanaiomba CCM iwaletee Tume huru ya uchaguzi.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Hao 20% ndio waliokusaidia angalau unaweza kuandika haya leo. Bila wao ungekuwa uko kijijini kwenu unakaa magome ya miti. Inabidi uwaheshimu sana. Hakuna kitu kizuri ukijitambua.Ikumbukwe kuwa ni takribani 20% ya wananchi ndio walisema wanapendelea mfumo wa vyama vingi uanzishwe nchini na 80% waliukataa kwa madai kuwa kwa wakati ule taifa halikuhitaji na wala halina wapinzani wa "kweli".
Baba wa taifa akasema wachache wapewe na wengi wasikilizwe, ndipo ukaanzishwa huu Upinzani wa ruzuku.
Yaani wapinzani wanapiga hesabu za kujinufaisha wao na "matumbo tumbo" yao ndio maana hata sasa wamekuwa watu wa kuhamahama kufuata fursa.
Mchungaji Mtikila aliwahi kuhamia CHADEMA ili tu awe Mbunge wa Ludewa lakini wananchi wakamkataa akarudi kwenye DP yake.
Babu Duni Haji alihamia CHADEMA ili tu aweze kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania.
Mifano ni mingi na hao ndio aina ya wapinzani tulionao ambao sasa wanaiomba CCM iwaletee Tume huru ya uchaguzi.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Swala si kizazi bali siasa chafu zinazofanywa na ccm ili kuwanufaisha watu wachache.Ikumbukwe kuwa ni takribani 20% ya wananchi ndio walisema wanapendelea mfumo wa vyama vingi uanzishwe nchini na 80% waliukataa kwa madai kuwa kwa wakati ule taifa halikuhitaji na wala halina wapinzani wa "kweli".
Baba wa taifa akasema wachache wapewe na wengi wasikilizwe, ndipo ukaanzishwa huu Upinzani wa ruzuku.
Yaani wapinzani wanapiga hesabu za kujinufaisha wao na "matumbo tumbo" yao ndio maana hata sasa wamekuwa watu wa kuhamahama kufuata fursa.
Mchungaji Mtikila aliwahi kuhamia CHADEMA ili tu awe Mbunge wa Ludewa lakini wananchi wakamkataa akarudi kwenye DP yake.
Babu Duni Haji alihamia CHADEMA ili tu aweze kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania.
Mifano ni mingi na hao ndio aina ya wapinzani tulionao ambao sasa wanaiomba CCM iwaletee Tume huru ya uchaguzi.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
wengine walioweza kwa kuwa na chama kimoja ni akina nani na wanatembeza bakuli kama ccm kwa kiasi gani,any way shida ni ninyi kukabidhi akili kwa watu wachache,I believe mtu kama wewe huna kaburi unalotaka Lilindwe na ccm bali unatumika na watu wachache wewe makaburi yaoKm China wameweza na chama kimoja Kwanini sisi tusiwaige?
watu wenye akili wanacompare na kucontrast the situation before na after then wanamake informed decision.wajinga wao wanaangalia chama chao tu hata kama the situation before was worse.hopeless kabisaUnadhani mfumo wa vyama vingi lilikuwa wazo la watanzania? Ilikuwa hakuna namna lazima tuingie kwenye huo mfumo coz mfumo wa utumwa ulishabadilika so ili tuendane na utumwa mpya ilikuwa ni lazima tuletewe mfumo mwengine ukiwemo wa vyama vingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikumbukwe kuwa ni takribani 20% ya wananchi ndio walisema wanapendelea mfumo wa vyama vingi uanzishwe nchini na 80% waliukataa kwa madai kuwa kwa wakati ule taifa halikuhitaji na wala halina wapinzani wa "kweli".
Baba wa taifa akasema wachache wapewe na wengi wasikilizwe, ndipo ukaanzishwa huu Upinzani wa ruzuku.
Yaani wapinzani wanapiga hesabu za kujinufaisha wao na "matumbo tumbo" yao ndio maana hata sasa wamekuwa watu wa kuhamahama kufuata fursa.
Mchungaji Mtikila aliwahi kuhamia CHADEMA ili tu awe Mbunge wa Ludewa lakini wananchi wakamkataa akarudi kwenye DP yake.
Babu Duni Haji alihamia CHADEMA ili tu aweze kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania.
Mifano ni mingi na hao ndio aina ya wapinzani tulionao ambao sasa wanaiomba CCM iwaletee Tume huru ya uchaguzi.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Huwezi kuelewa ikiwa hata kuandika lugha yako mama ni tatizo. Unaandika Kwaio badala ya Kwa hiyo. Siwezi kujengeana hoja na form 4 failure. Ni wazi una uwezo mdogo wa kuelewa na kuchambua mambo.Kwaio kama ni vijana wamefanyeje mana sielew unamaanisha nn mm mwenyewe ni kijana wa miaka 27 Lakin upuuz unao waza ni wa wewe mwenyewe na machizi wenzako
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes nilifel form 4 ila nilifaulu mtihani wa mtaani Nina maisha Mazur Sana boy wewe ulie soma mpaka chuo na huna Kaz ela ya kula tu yashida endelea kuitukana serekal kisa tu umesoma na hujaajiriwa pole kwioHuwezi kuelewa ikiwa hata kuandika lugha yako mama ni tatizo. Unaandika Kwaio badala ya Kwa hiyo. Siwezi kujengeana hoja na form 4 failure. Ni wazi una uwezo mdogo wa kuelewa na kuchambua mambo.
Huna maisha mazuri usitudanganye humu, ungekuwa na maisha mazuri usingekubali kutumika kubwabwaja humu. Kuhusu mimi ajira ninayo Mkuu , tena serikali imetumia gharama kunitengeneza. Kama unahitaji kunijua zaidi njoo inbox ntakueleza vizuri, unadhani kila anayekosoa ana njaa. Wengine ni makada sisi lakini sio wa kusifia kila kitu, maslahi ya Taifa kwanzaYes nilifel form 4 ila nilifaulu mtihani wa mtaani Nina maisha Mazur Sana boy wewe ulie soma mpaka chuo na huna Kaz ela ya kula tu yashida endelea kuitukana serekal kisa tu umesoma na hujaajiriwa pole kwio
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaio serekal unayo itukana kila siku ndio ilio kufanya wewe Leo una maisha Tena umesema imekutengeneza kwa garama kwel naongea na chiz na mnafki asie fadhilika sitokujibu Tena mana kama serekal imekusimamia mpaka apo ulipo maisha yako yanaenda fresh alafu unakaa unaongea ujinga ila nikushukuru kwakua tayar umewaonesha wenzako ambao kila siku unawadanganya kua serekal ni mbovu kumbe io serekal ndio ilio kupa maisha na Leo unavimbaHuna maisha mazuri usitudanganye humu, ungekuwa na maisha mazuri usingekubali kutumika kubwabwaja humu. Kuhusu mimi ajira ninayo Mkuu , tena serikali imetumia gharama kunitengeneza. Kama unahitaji kunijua zaidi njoo inbox ntakueleza vizuri, unadhani kila anayekosoa ana njaa. Wengine ni makada sisi lakini sio wa kusifia kila kitu, maslahi ya Taifa kwanza