ila ukweli mchungu mzazi huwapenda watoto wake wote kwa usawa wakiwa wadogo wakishakuwa watu wazima, wanapendwa kulingana na kipato na msaada wanaotoa.hasa hawa wakina mama zetu .Nilipokua
Nilipokua kwenye huo umri,mipango ikavurugika,nikarudi home,wa kwanza kunionesha dharau ni bi mkubwa,akawafundisha na watoto wa wadogo zangu pale home kunidharau,hakutosheka..akawa ananijengea dharau kwa watu mitaani,usiombe huo msongo wa mawazo,nikaanza kubeti nipate hela niondoke,mungu siyo benard Morrison network yangu ikalipa,kwa Sasa Nina kipato kuliko kunguni yoyote kwenye ukoo,na huwa sijui Cha kumfanya no mkubwa..Ila bado Nina grudge nae
Point sana hii; Ila wengi hawatakuelewa; Umri is nothing zaidi ya mind ya Mtu; Ndio maana kuna mtu ana 50 years ila ana utoto/mambo ya kitoto halafu kuna mtu ana 20-25 ila mind yake ni utu uzima full,ujinga tu . endelea na mipango yako achana na mambo ya umri
Sasa nyinyi watoto wa kike si tunawatafutia presha zinatoka wapi
Noted , muhimu sana kuangalia maisha baada ya kifo maana starehe za dunia ni udanganyifu mtu unaweza kuwa na pesa lakini ukawa na stress za kuchapiwa na kukosa amani.Nipo katika umri huo bado napambana, sijatoboa bado.( Huko nyumbani nimeacha buku tatu tu mpaka jioni wife ndo anajua atavoipangilia.
Ila nimeamua kuwekeza sana mbiguni
Maana sikuhizi tunakufa mapema tena vijana na angali na ndoto zetu.
Kupanga Ni kuchagua yani nikose kokote mkuu.
kuitafuta pepo.Maisha ya dunia yakikuchapa mpaka umri huo Ni Bora kuanza kuwekeza kumjua mungu wako na kuitafuta pepo.
Sio pote pote ushindwe.
Ushindwe duniani na ushindwe kuu-wona ufalme wa mungu.
Japo swala la kutoka kimaisha halina umri Wala nini. Ni muda wowote tu haijalishi
Ndo maana mnakufa kwa stress kwa kujilinganisha na fulani wewe Ni wewe na hakuna Kama wewe, we pambana tu age is just a number!Hakuna umri ambao ni very crucial kama 30-36 yrs old.
Ni umri wa mixed feelings: Depression, Anxiety, Kujuta, Furaha, ninge zinakuwa nyingi.
Mara nyingi (sio mara zote) huu ni umri ambapo hali ulio nayo kisaikolojia, physicallity (unene, wembamba etc), kihisia na kijitihada ndio itakuwa nguzo maishani mwako hadi uzee.
Ni umri wa kujiuliza hapo ulipo ndipo ulipo taka kuwa kipindi cha ndoto, matarajio, maombi na mipango wakati una umri wa miaka 16-25.
Maswali kama
■Una mke/mme
■Umeshatoka kwa wazazi
■Umepanda cheo
■Ume/una jenga nyumba,
■Una/ume nunua gari,
■Unamiliki kiwanja
■Wazazi unawahudumia,
■Umepanda cheo
■Hali yako kifedha
■Akiba na assets
■Biashara na uwekezaji wako
■Umeacha utoto.
Ni thread ya kushare changamoto, matunda, ushauri, kuelimishana na jinsi ya ku handle huu umri kwa wale tulioteleza, kuchelewa ili tujinasue b4 its very late
Karibuni.
Umemaliza kila kitu mama.Ukisema uangalie umri katika kufanikiwa, utapata msongo wa mawazo na presha.
Kila mtu anawakati wake wa kupata. Pia kunawakati wa kupoteza.
AmenNna 34, mke na watoto 2 nyumba na kapikipiki, maisha yanasonga nashukuru Mungu. Inshaallah mengineyo panapo uzima.
Time itafika kila kitu kitakaa sawa.Bado few years niifikie hiyo 30 halafu nikiangalia mambo yenyewe hayaeleweki kama mvua za Dar, mbona kuna kudata,
Huna mume, huna mtoto, pesa huzioni aaah' walaqhi tena..!!
Hakuna formula ya Maisha! Acheni kutia watu pressure. Njia yako si njia ya mwingine, wakati wako siyo wakati wa kila mtu.Hakuna umri ambao ni very crucial kama 30-36 yrs old.
Ni umri wa mixed feelings: Depression, Anxiety, Kujuta, Furaha, ninge zinakuwa nyingi.
Mara nyingi (sio mara zote) huu ni umri ambapo hali ulio nayo kisaikolojia, physicallity (unene, wembamba etc), kihisia na kijitihada ndio itakuwa nguzo maishani mwako hadi uzee.
Ni umri wa kujiuliza hapo ulipo ndipo ulipo taka kuwa kipindi cha ndoto, matarajio, maombi na mipango wakati una umri wa miaka 16-25.
Maswali kama
■Una mke/mme
■Umeshatoka kwa wazazi
■Umepanda cheo
■Ume/una jenga nyumba,
■Una/ume nunua gari,
■Unamiliki kiwanja
■Wazazi unawahudumia,
■Umepanda cheo
■Hali yako kifedha
■Akiba na assets
■Biashara na uwekezaji wako
■Umeacha utoto.
Ni thread ya kushare changamoto, matunda, ushauri, kuelimishana na jinsi ya ku handle huu umri kwa wale tulioteleza, kuchelewa ili tujinasue b4 its very late
Karibuni.