30 - 36 years old: An Official Thread

30 - 36 years old: An Official Thread

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,936
Reaction score
3,940
Hakuna umri ambao ni very crucial kama 30-36 yrs old.

Ni umri wa mixed feelings: Depression, Anxiety, Kujuta, Furaha, ninge zinakuwa nyingi.

Mara nyingi (sio mara zote) huu ni umri ambapo hali ulio nayo kisaikolojia, physicallity (unene, wembamba etc), kihisia na kijitihada ndio itakuwa nguzo maishani mwako hadi uzee.

Ni umri wa kujiuliza hapo ulipo ndipo ulipo taka kuwa kipindi cha ndoto, matarajio, maombi na mipango wakati una umri wa miaka 16-25.

Maswali kama
■Una mke/mme
■Umeshatoka kwa wazazi
■Umepanda cheo
■Ume/una jenga nyumba,
■Una/ume nunua gari,
■Unamiliki kiwanja
■Wazazi unawahudumia,
■Hali yako kifedha
■Akiba na assets
■Biashara na uwekezaji wako
■Umeacha utoto.

Ni thread ya kushare changamoto, matunda, ushauri, kuelimishana na jinsi ya ku handle huu umri kwa wale tulioteleza, kuchelewa ili tujinasue b4 its very late

Karibuni.

HOW TO COPE UP WITH MID LIFE CRISIS:

Kabisa mkuu.
Binafsi nipo kwenye hiyo age, mke bado sina ila nina mtoto na ninaishi na mpenzi(bado kuhalalisha makaratasi ya kuwa mke).
Usafiri upo bado nakomaa na kiwanja sina hata tofali la sh.100

Nimeajiriwa sehemu lakini ndoto zangu ni kumiliki biashara yangu mwenyewe hivyo bado niko kwenye kutotimiza ndoto zangu.

Mambo ni mengi ila naamini Mungu atasaidia ndoto yangu kutimia nikifika 35yrs.
 
FKqtmCPWYAMdqKg.jpg
 
Maisha ya dunia yakikuchapa mpaka umri huo Ni Bora kuanza kuwekeza kumjua mungu wako na kuitafuta pepo.

Sio pote pote ushindwe.

Ushindwe duniani na ushindwe kuu-wona ufalme wa mungu.

Japo swala la kutoka kimaisha halina umri Wala nini. Ni muda wowote tu haijalishi
 
Hakuna umri ambao ni very crucial kama 30-36 yrs old.

Ni umri wa mixed feelings: Depression, Anxiety, Kujuta, Furaha, ninge zinakuwa nyingi.

Mara nyingi (sio mara zote) huu ni umri ambapo hali ulio nayo kisaikolojia, physicallity (unene, wembamba etc), kihisia na kijitihada ndio itakuwa nguzo maishani mwako hadi uzee.

Ni umri wa kujiuliza hapo ulipo ndipo ulipo taka kuwa kipindi cha ndoto, matarajio, maombi na mipango wakati una umri wa miaka 16-25.

Maswali kama
■Una mke/mme
■Umeshatoka kwa wazazi
■Umepanda cheo
■Ume/una jenga nyumba,
■Una/ume nunua gari,
■Unamiliki kiwanja
■Wazazi unawahudumia,
■Umepanda cheo
■Hali yako kifedha
■Akiba na assets
■Biashara na uwekezaji wako
■Umeacha utoto.

Ni thread ya kushare changamoto, matunda, ushauri, kuelimishana na jinsi ya ku handle huu umri kwa wale tulioteleza, kuchelewa ili tujinasue b4 its very late

Karibuni.
Huu ni utafiti au ni maoni yako tu?
 
Nipo kwenye hiyo age, Kwa kiasi changu baadhi ya mambo ninayo na mengine nimeacha Ila tatizo nina mtoto moja na Kwa maelezo ya daktari huenda wife akaishia mtoto huyo huyo mmoja. Hapa kichwa inauma kweli kweli.
Boss tafuta msaada kisaikolojia ili uachane na hio mambo huu ni umri ambao kama hautaacha hako kamchezo hautaacha kabisa.
 
Back
Top Bottom