3 Idiots ya Aamir Khan

3 Idiots ya Aamir Khan

Aamir Khan ana movie yake moja iliyouelezea ulimwengu mzima kwa masaa machache mno, ila ni movie nzuri endapo wewe ni free thinker for those limited thinker siwashauri kuangalia movie inaitwa PK its a Philososphical movie iliyojikita katika kuelezea tofauti za dini duniani ni jinsi gani hazina maana.
Kazuri kale kamuvi haswaa....PK hahahaa
 
Aligoma kuingizwa kwenye tuzo zao za kupeana miaka almost 23 to 26 yes back kwa sababu kuna muvie alideserve kushinda hakushinda akaomba asiweke tena kwenye nominations
amir khan kwa india naweza kusema ndo the best actor...
 
Not true
movie za kihindi banaa,mtu anapigwa ngumi anarushwa juu kilomita 300,akirudi chini anapasua ukuta...,
gari liko speed 120 lakini sterling anamchomoa jambazi yeye akiwa nje.......
sterling amezungukwa na maraia kama wote,kapigwa kachoka ila mwishoni atapata hasira na kuwafua wote....
 
Kuna movie ya Salman Khan inaitwa bajranj bhaijaan ni moja kati ya emotional movies bora zaidi kuwahi kuziona bila ya kusahau ya Ajay inaitwa dryshyam zote ni za 2015
Yap nzuri zote mbili ila drisham kibokoo acha tuu!!!
 
Nnavompenda ajay miye jamaaani!!!acha tuuu
Huyo sijaangalia movie zake za mjini zenye magari apart from baahubali. Ofcourse nayo uwongo mwingi.

Ajay naye mzushi sana halafu baba ake mzee devgan ndio action choreographer. Mimi movie akiwepo Ajay siangalii except Ishq
 
Nakuunga mkono mkuu,PK ni moja kati ya movie za kihindi zilizotulia sana kimaudhui.
Na "Mr PERFECTION" kama kawaida yake huwa hakosei.
Swali la kizushi mkuu....
Vipi unamuonaje yule mtoto wa kike mule ndani akiitwa "Anushka Sharma" a.k.a JAGAT!!?.
Actor mzuri anushka anajitahidi sana yuko poa though I don't like her haswaa alivyofanya surgery ila yuko vzr
 
Bollywood-car-movies1.gif
 
mara ya mwisho kwangalia movies za kihindi 2008!!!!tokea hapo cjawah kwaangalia hata Trailer
 
"one day the director of our institution called me, viru ..... i said yes sir, come here he said, i scared... " ktu kitamu sana hiki wazee a hujaona kitafute aiseeh
He said viru..:this is the sign of excellency take it..!!
 
Aamir Khan ana movie yake moja iliyouelezea ulimwengu mzima kwa masaa machache mno, ila ni movie nzuri endapo wewe ni free thinker for those limited thinker siwashauri kuangalia movie inaitwa PK its a Philososphical movie iliyojikita katika kuelezea tofauti za dini duniani ni jinsi gani hazina maana.
Aamir khan ni bonge LA actor hajwahi kosea muvi yeyote

3 idiots
Ghanjin
Zipo kibao aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom