mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,117
Hahah utakua mhenga kiainaNaipata...
Dharmendra, Amrish Puri etc.
Hahah utakua mhenga kiainaNaipata...
Dharmendra, Amrish Puri etc.
hiyo inaitwa "Pulimurugan"NANI ANAHIFAHAMU HII TAMIL MOVIE..........,,,
KUNA MOVIE CLIP MOJA YA SEKUNDE 60 KIINDI IKIONYESHA .KAVULANA KAKO MSITUNI NA BABA AKE WAKITEGA MTEGO WA KUKAMATA CHUI ,GHAFLA KANATOKEA KAKIKIMBIZWA NA CHUI KAKAITA NENO LA KIINDI SIJALIPATA**** BAADAE KANAENDA KWENYE EGDE KANAJIRUSHA UKU CHUI AKIKONGWA NA GOGO LILILOTEGWA BAADA YA KUKATA KAMBA AKE NA YULE BABA AKE ZENI GOGO LINAMGONGA HUYO CHUI ANADONDOKA CHINI BAADA YA HAPO BABA AKE ANARUSHA MKUKI KWA MWANAE,NA MWANAE ANAMCHOMA CHUI ANAKUFA . .....WAKUUUU HII MOVIE NANI ANAIFAHAMU WAKUU NISAIDIENI JINA LAKE TUTANI!!!!!!!!!
Safi sana mkuu classic movies ni poa sana.🙂🙂🙂🙂
Pengine uko sahihi au pengine hauko sahihi...!
I simply like movies, ndiyo jibu sahihi zaidi.
Naangalia movies za 1930s, 1940s, 1950s etc. na hata wazazi wangu hawakuwa wamezaliwa wakati huo!
Maisha yenyewe tunayoishi ni movie nini?kwa awamu hii hkuna haja kabisa ya kuangalia movie
everything has changed into movieMaisha yenyewe tunayoishi ni movie nini?
Yaani mimi sio mpenzi wa hindian movie.Sijakuelewa hiyo mistari niliyoi_bold
Horror za kizungu.Nimekusoma, umehamia wapi sasa?
Umeandika kwa uzuri zaidi.Nimekuelewa sana, inaonekana haungalii movie kwa kubahatisha, unazielewa!
Imepambwa, promotion kibao halafu kimetoka kitu cha ovyo...SRK alinidisappoint sana ktk My name Is Khan.
Ushamba tu Wa kuonaTV. Ulikuwa unawasumbuaKabisa.
Zamani unaangalia movie huku unalia jinsi hisia unazozipata.
Angalau hii ya siku hizi hii bajrangi bhaijaan pale mwisho anaporudishwa kwao pale mpakani afu yule mtoto anamkimbilia pale huwa naliaga aisee...
Hawana tofauti na bongo
Kuna movie inaitwa LOHA unaisoma?Kitambo sana
Msalimie Mr. Van tafadhaliKatika movie za kihindi ninazozienda zikiwekwa mezani 3 idiots haipo. Halafu wahindi movie zao za zamani ndio bomba sana
Afhadhali hizo kuliko bongo movies... jini linakodi bodaboda kumfukuza binadamu...movie za kihindi banaa,mtu anapigwa ngumi anarushwa juu kilomita 300,akirudi chini anapasua ukuta...,
gari liko speed 120 lakini sterling anamchomoa jambazi yeye akiwa nje.......
sterling amezungukwa na maraia kama wote,kapigwa kachoka ila mwishoni atapata hasira na kuwafua wote....
Nitamfikishia. Nitamwambia babu wa Jamiiforum anamsalimiaMsalimie Mr. Van tafadhali
Ewaaa.... mwambie atimize majukumu yake vizuri ya kukulea wewe na wajukuu zangu. Akileta mchezo nakuchukua mwenyewe nikulee. Sipendi ujinga mwambieNitamfikishia. Nitamwambia babu wa Jamiiforum anamsalimia
Ewaaa.... mwambie atimize majukumu yake vizuri ya kukulea wewe na wajukuu zangu. Akileta mchezo nakuchukua mwenyewe nikulee. Sipendi ujinga mwambie




babu bwana. Kweli hutaki mchezo kabisa