3 Idiots ya Aamir Khan

3 Idiots ya Aamir Khan

Karibu pia hollywood umuone thanos the baddest anavyonyoosha watu....
````
can you tell me a story behind this signature??
A simple person who hides thousands of feelings behind a smile
Hollywood nako niko pia, Thanos alinikera kweli kweli dunia nzima watu wamepeperuka mpaka Samuel Jackson akashindwa kumalizia msemo wake pendwa

Story behind that signature is, idadavue tu hiyo signature utaielewa.
 
April kitu cha grand finale kinaruka hewanii tuone Thanos atakufaje au ndio mashabiki tutabaki kumshabikia jambazi kwakua ana nguvu sana.. The first time naiona nilitaka kulia yaani kisa demu mpuuzi mmoja (Chriss Pratt & Zoe saldan)kasababisha ulimwengu upukutike
Niliumia sana Doctor strange kufaaa
nakukumbusha ratiba ya december iko iviiii
48356413_263178544378890_2010564471470161920_n.jpg
 
April kitu cha grand finale kinaruka hewanii tuone Thanos atakufaje au ndio mashabiki tutabaki kumshabikia jambazi kwakua ana nguvu sana.. The first time naiona nilitaka kulia yaani kisa demu mpuuzi mmoja (Chriss Pratt & Zoe saldan)kasababisha ulimwengu upukutike
Niliumia sana Doctor strange kufaaa
nakukumbusha ratiba ya december iko iviiii
View attachment 966067
Kuna clip nliiona Chris Pratt alikua ameenda cinema alivyo fika watu wakaanza kum boo sababu yeye ndio source ya kila kitu wanasahau ni movie

Naisubiria Aquaman kwa hamu zote wasije kuni disappoint tu. Hiyo deadpool naona uchwara tu
 
Wee mdharau tu deadpool hujui kama ndio atawarudisha wote waleee waliokufa naona wengi mitandfaoni wansema hakuna sababu ya kuitoa hii muvi.. ila marvel hua hawakosei..
Harafu haya majina ya Chriss mbona yanatumiwa na marvel sana ref. chris evans~captain Ame, Chris hamosworth thor, and pratt

Opera Snapshot_2018-12-12_192439_www.slashfilm.com.png
 
Wee mdharau tu deadpool hujui kama ndio atawarudisha wote waleee waliokufa naona wengi mitandfaoni wansema hakuna sababu ya kuitoa hii muvi.. ila marvel hua hawakosei..
Harafu haya majina ya Chriss mbona yanatumiwa na marvel sana ref. chris evans~captain Ame, Chris hamosworth thor, and pratt

View attachment 966078
Anti man ndio ataokoa jahazi naona.

Imetokea kama coincidence tu hayo majina ya chris.
 
Aisee mambo niaje wakuu?
Kwa wale waliowahi kuona baadhi ya movies za kihindi watakubaliana nami kwamba 3 Idiots ya Aamir Khan ni moja ya movie matata kabisa

Movie ilitoka 2009 , Binafsi niliiona mwaka 2011 , nikiwa kidato cha 6 kuna mshikaji wangu alikua akisoma pale Udsm hivyo siku moja nilimtimbia pale, jamaa akaniambia kwa vile unasoma PCM hii movie itakufaa sana,
Movie iliisha sikuelewa kivilee,
Mwaka uliofuata nipo chuoni nilisaka movie na kuirudia tena, the rest is history
Binafsi nimeona movies nyingi za kihindi kama
1. Taare zameen Par - Aamir Khan
Movie inazungumzia mtoto ambaye ana matatizo katika makuzi yake hivyo hawezi kusoma na haelewi chochote shuleni
2. My name is Khan- Shahruh Khan
3. Aatia
4. Koyla/Coyla
5. Sheeviy
Na nyinginezo ambazo Sikumbuki majina , ila kiukweli 3 Idiots imebaki kua movies bora kabisa kwangu kwa movie za kihindi,
Rancho - kijana mmoja maskini anasoma ili ampatie cheti kijana mmoja wa tajiri,
Chatur
Raju
Mr Virus "This is symbol of excellence "
Angalia bajrangi bhaijaan ya Salman khan na uhakika utakuja kuedit uzi.
 
Kaswali kagumu ila i guess atamnynganya thanos time stone kisha arudishe muda nyuma warudi wataalamu wamdhibiti thanos. nawaza tuu
Hahahaa trailer imeshatoka hujaiona?? Ant-Man akiingia masikion mle lazika thanos akome
 
Aisee mambo niaje wakuu?
Kwa wale waliowahi kuona baadhi ya movies za kihindi watakubaliana nami kwamba 3 Idiots ya Aamir Khan ni moja ya movie matata kabisa

Movie ilitoka 2009 , Binafsi niliiona mwaka 2011 , nikiwa kidato cha 6 kuna mshikaji wangu alikua akisoma pale Udsm hivyo siku moja nilimtimbia pale, jamaa akaniambia kwa vile unasoma PCM hii movie itakufaa sana,
Movie iliisha sikuelewa kivilee,
Mwaka uliofuata nipo chuoni nilisaka movie na kuirudia tena, the rest is history
Binafsi nimeona movies nyingi za kihindi kama
1. Taare zameen Par - Aamir Khan
Movie inazungumzia mtoto ambaye ana matatizo katika makuzi yake hivyo hawezi kusoma na haelewi chochote shuleni
2. My name is Khan- Shahruh Khan
3. Aatia
4. Koyla/Coyla
5. Sheeviy
Na nyinginezo ambazo Sikumbuki majina , ila kiukweli 3 Idiots imebaki kua movies bora kabisa kwangu kwa movie za kihindi,
Rancho - kijana mmoja maskini anasoma ili ampatie cheti kijana mmoja wa tajiri,
Chatur
Raju
Mr Virus "This is symbol of excellence "
Sijawahi angalia movie za kihindi na sijawahi kuzipenda ila hii ni habari nyingine... One of the finest
 
Aisee mambo niaje wakuu?
Kwa wale waliowahi kuona baadhi ya movies za kihindi watakubaliana nami kwamba 3 Idiots ya Aamir Khan ni moja ya movie matata kabisa

Movie ilitoka 2009 , Binafsi niliiona mwaka 2011 , nikiwa kidato cha 6 kuna mshikaji wangu alikua akisoma pale Udsm hivyo siku moja nilimtimbia pale, jamaa akaniambia kwa vile unasoma PCM hii movie itakufaa sana,
Movie iliisha sikuelewa kivilee,
Mwaka uliofuata nipo chuoni nilisaka movie na kuirudia tena, the rest is history
Binafsi nimeona movies nyingi za kihindi kama
1. Taare zameen Par - Aamir Khan
Movie inazungumzia mtoto ambaye ana matatizo katika makuzi yake hivyo hawezi kusoma na haelewi chochote shuleni
2. My name is Khan- Shahruh Khan
3. Aatia
4. Koyla/Coyla
5. Sheeviy
Na nyinginezo ambazo Sikumbuki majina , ila kiukweli 3 Idiots imebaki kua movies bora kabisa kwangu kwa movie za kihindi,
Rancho - kijana mmoja maskini anasoma ili ampatie cheti kijana mmoja wa tajiri,
Chatur
Raju
Mr Virus "This is symbol of excellence "
Tafuta barf! Utanikunbuka..
 
To me naipenda sana "it's not a love story, it's a saga"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom