3 Idiots ya Aamir Khan

Nakuunga mkono mkuu,PK ni moja kati ya movie za kihindi zilizotulia sana kimaudhui.
Na "Mr PERFECTION" kama kawaida yake huwa hakosei.
Swali la kizushi mkuu....
Vipi unamuonaje yule mtoto wa kike mule ndani akiitwa "Anushka Sharma" a.k.a JAGAT!!?.
Jagu naye alikuwa wronged number.
 
Anayezijua muvi kali za kihindi kama hizi atuambie..ili tuzidownload
Tafuta
1. We are the family. Bonge la movie utalia kama sio machozi kukulenga.

2. Anjaana Anjaani.
3. Pyaar Imposible.
4.Fashion.

Hizi ya pili mpaka ya nne kuna huyu mrembo "Priyanka Chopra" kachagiza nizipende zaidi

Na zote zina nyimbo kali nyimbo za kwenye We are the family ni the best.
 
Hizo Anjaana Anjaani na Pyaar Imposible. mbona ni filamu mbovu, mimi sijawahi kuzikubali
 
Katika filamu za mapenzi za kihindi nilizozipenda mpaka sasa ni hiyo Pyaar love is Impossible na Gangster love ya muhuni mmoja hivi wa kihindi
Tafuta
1. We are the family. Bonge la movie utalia kama sio machozi kukulenga.

2. Anjaana Anjaani.
3. Pyaar Imposible.
4.Fashion.

Hizi ya pili mpaka ya nne kuna huyu mrembo "Priyanka Chopra" kachagiza nizipende zaidi

Na zote zina nyimbo kali nyimbo za kwenye We are the family ni the best.
 
*Ghajini (Aamir Khan)
*blackmail(2018)
*murder 3
*Ek tha tiger
*We are family (2018)
*Fanaa
*Baahubal
*Lion (2016)
*Bajrangi bhaijan
 
Hahaha 3 idiot kuna sehem jamaa kampeleka baba ake Raju hospitali na pikipiki kaingia had ndani kwa wagonjwa na pikipiki hatar...Ila alimuokoa maana mzee alikuwa anakata moto akichelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom