Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,172
- 26,907
Rqnchodass shalmadas chanchad
Na kithembe chake hahahaMi namkubali mkuu wa chuo,Yule mzee nuksi sana![]()
Huyo san deo nilikuwa namuelewa saana kipindi hicho asee,Dah nimewakumbuka akina Sunjay Dutty, San Deol (Kabangi), Amrish Puri, Priyanka Chorpa, Sunil Shetty, Ajay Devgan, Amittah Bachan walivyofanya nikapigwa bakora kila siku kisa kuiba mia mia za kibanda umiza kwa Mbuluu hapo Mbauda
My name is khan ni moja kati ya movie mbaya zaidi kuwahi kutengenezwa duniani,nilisikia sifa zake nyingi balaa kuja kuichek aisee ni upuuzi wa kiwango cha juu sana.Aamir khan yupo njema sana.
3idiots ipo vyema.
My name is khan moja ya filamu kuitazama tena nitakuwa nafanya matumizi mabaya ya muda.
Siikubali na sitarajii kuitazame tena.
View attachment 967555
Yeah....kumbe nawe mdau wa old hindi movieHatya, Khoon Bhari Maang...zilikuwa na stori nzuri sana.
Vishwatma ilikuwa na nyimbo nzuri sana, niliipenda pia kwa kuwa waliishoot Kenya..."Mimi ni mkubwa sana!"
Kabisa kabisa,,My name is khan ni moja kati ya movie mbaya zaidi kuwahi kutengenezwa duniani,nilisikia sifa zake nyingi balaa kuja kuichek aisee ni upuuzi wa kiwango cha juu sana.
Hii ndio movie pekee ya wahindi niliyoielewa. Ni bonge moja ya filamuAamir Khan ana movie yake moja iliyouelezea ulimwengu mzima kwa masaa machache mno, ila ni movie nzuri endapo wewe ni free thinker for those limited thinker siwashauri kuangalia movie inaitwa PK its a Philososphical movie iliyojikita katika kuelezea tofauti za dini duniani ni jinsi gani hazina maana.
Nimekuelewa sana, inaonekana haungalii movie kwa kubahatisha, unazielewa!
Imepambwa, promotion kibao halafu kimetoka kitu cha ovyo...SRK alinidisappoint sana ktk My name Is Khan.
Hao wachekeana kinafki ila mpaka kesho hakuna anayemwamini mwenzake.Bajranj iliwaleta wahindi na wapakistani pamoja. Halafu wahindi na wapakistani ni maadui sana
Ndio, Divya BhartiDivya Bharti.
Kifo chake kilikuwa na utata sana, pengine alijirusha au aliuawa, inasikitisha.
Nilimpenda sana ktk Vishwatma.
Mimi mdau sana wa oldies, kwa sasa napenda chache sana.
Yeth thaa.. hahaha, i got thcared.."one day the director of our institution called me, viru ..... i said yes sir, come here he said, i scared... " ktu kitamu sana hiki wazee a hujaona kitafute aiseeh
Kuna movie inaitwa LOHA unaisoma?Kitambo sanaDivya Bharti.
Kifo chake kilikuwa na utata sana, pengine alijirusha au aliuawa, inasikitisha.
Nilimpenda sana ktk Vishwatma.
Mimi mdau sana wa oldies, kwa sasa napenda chache sana.
Jana nimetizama PK....aisee....!Uko sahihi! Aamir Khan ni great thinker, philosopher and activist via his movies.
Kwa mtu asiyewajua wahindi kiundani anaweza asiielewe vyema 3 idiots. Lkn wale jamaa stereotype inawatesa sana! Watoto wanalazimishwa kusoma vitu walivyo na malengo navyo!
Kwenye PK kachambua vizuri sana suala la hizi imani zetu za kidini!
Huwa napenda movie zake.