3 Idiots ya Aamir Khan

3 Idiots ya Aamir Khan

Mimi nilicheki nikiwa form one 2012
Nilipenda pale jamaa alivyowategea umeme wale jamaa wakakojolea hahaha.

Ila let it shine kwangu ndo kali ya 2012.
 
Basi for your information advance nimesoma sayansi yenye Physics & Chemistry mwishoni malizia itakayokupendeza.
Kuna watu sio wapenzi wa movie za kihindi ila hiyo wameangalia. Kwa mimi mpenzi wa hizo movie nimeangalia nyingi hiyo sio my favourite
Kanye Sasa ulale
 
NANI ANAHIFAHAMU HII TAMIL MOVIE..........,,,
KUNA MOVIE CLIP MOJA YA SEKUNDE 60 KIINDI IKIONYESHA .KAVULANA KAKO MSITUNI NA BABA AKE WAKITEGA MTEGO WA KUKAMATA CHUI ,GHAFLA KANATOKEA KAKIKIMBIZWA NA CHUI KAKAITA NENO LA KIINDI SIJALIPATA**** BAADAE KANAENDA KWENYE EGDE KANAJIRUSHA UKU CHUI AKIKONGWA NA GOGO LILILOTEGWA BAADA YA KUKATA KAMBA AKE NA YULE BABA AKE ZENI GOGO LINAMGONGA HUYO CHUI ANADONDOKA CHINI BAADA YA HAPO BABA AKE ANARUSHA MKUKI KWA MWANAE,NA MWANAE ANAMCHOMA CHUI ANAKUFA . .....WAKUUUU HII MOVIE NANI ANAIFAHAMU WAKUU NISAIDIENI JINA LAKE TUTANI!!!!!!!!!
 
Nakuunga mkono mkuu,PK ni moja kati ya movie za kihindi zilizotulia sana kimaudhui.
Na "Mr PERFECTION" kama kawaida yake huwa hakosei.
Swali la kizushi mkuu....
Vipi unamuonaje yule mtoto wa kike mule ndani akiitwa "Anushka Sharma" a.k.a JAGAT!!?.

Dada Anushka alicheza picha moja Jab Tak Hai Jaan kama Akira, alikamua sana bidada mule.
 
Dada Anushka alicheza picha moja Jab Tak Hai Jaan kama Akira, alikamua sana bidada mule.
Hivi ile movie aliocheza Anushka na sharukhan huku mzee upande mwengine kijana ili kumtega bibie ina itwaje,?
 
Sikuwahi kuwa mshabiki wala mpenzi was movie za kihindi, ila hii 3 idiot in moja kati ya movie bora na za muda wrote kwangu.
Hii mbona mna isifia ngoja weekend nitafute.
 
amir khan kwa india naweza kusema ndo the best actor...
kuna mtu anaitwa SRK huyu ndo mfalme wa Bollywood.
Kwa mapenzi yako yawezekana AK ndiye the best maana tunatofautiana.
 
PORUS
Mr India
Khabi kush khabi gam
Baaghi
The leader
Mera naam Khan
Kassam
Krish
.....
Sijaona movie bora duniani zaidi ya Bollywood.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom