3 Idiots ya Aamir Khan

3 Idiots ya Aamir Khan

Duh hii utaielewa pale utakapoamua kuielewa ni hilo tu ipo kihisia na kihalisia
Ukitaka nikuhadithie mwanzo mpaka mwisho naweza kuonesha naijua na nimeielewa.
Ila sio my favourite
 
Ukitaka nikuhadithie mwanzo mpaka mwisho naweza kuonesha naijua na nimeielewa.
Ila sio my favourite
Kuna baadhi ya movie ukiiangalia unajikuta kama upo ndni ya hiyo movie au kuna watu unawakumbuka kupitia hiyo movie
 
Ni kweli, SRK ndiyo King of Bollywood...
Ila Aamir Khan amekuwa mara kadhaa akijaribu kufanya vitu tofauti na wahafidhina wa Bollywood wanavyotaka na still anafakiwa...tena san! Lagaan, Ghajini, PK, 3 Idiots etc.
SRK anatumia formula zile zile zilizozoeleka, love stories etc. akifanya idea tofauti ujue kuna mwingine aliijaribu kabla.
apo umenena mr...jicho la tatu limefanya kazi
 
Katika movie za kihindi ninazozienda zikiwekwa mezani 3 idiots haipo. Halafu wahindi movie zao za zamani ndio bomba sana
Kabisa
Kuna....Loha, Hatya, Term meene baniya, Disco Dancer, Dance Dance, Vishwatma, Naagin (sio hii season), Maine Pyar Kiya, Andaz, Khoon bhari maang (ya mamba) na nyingine nyingi

Zamani ndo kulikuwa na movie bhana....
 
Yani hiyo teri meri meherbaniyan siizoei kila nikiangalia lazima nilie. Mard, andha kanoon, qayamat se qayamat tak, Khoon bharu ya Rekha yani unaangalia movie huku unalia.
Siku hizi wahindi hawana story tamu kama zamani
 
Kabisa.
Zamani unaangalia movie huku unalia jinsi hisia unazozipata.
Angalau hii ya siku hizi hii bajrangi bhaijaan pale mwisho anaporudishwa kwao pale mpakani afu yule mtoto anamkimbilia pale huwa naliaga aisee...
 
Yes hata hiyo kweli pale mwishoni vichozi vinadondoka. Mtoto mpaka sauti ikatoka masikini
 
Hiyo movie ya 1 sikuwahi kulia kisa movie ila hiyo ilini force nilie kwa kweli.Ya huyo mtoto ajui kusoma mwisho wa siku ni genious
 
Kuna movie ya Salman Khan inaitwa bajranj bhaijaan ni moja kati ya emotional movies bora zaidi kuwahi kuziona bila ya kusahau ya Ajay inaitwa dryshyam zote ni za 2015
Drishyam ni moja ya muvi inayoleta uhalisia sio zile za mangumi dishwaaa turu turu hu haa!!
Jamaa amesolve crime hadi raha afu familia yake imemuua mtoto wa IGP dadeeki.
 
sio poa kule mwisho ndo nilichoka kabisa kazikwa kwenye kituo cha police
Drishyam ni moja ya muvi inayoleta uhalisia sio zile za mangumi dishwaaa turu turu hu haa!!
Jamaa amesolve crime hadi raha afu familia yake imemuua mtoto wa IGP dadeeki.
 
Aamir Khan ana movie yake moja iliyouelezea ulimwengu mzima kwa masaa machache mno, ila ni movie nzuri endapo wewe ni free thinker for those limited thinker siwashauri kuangalia movie inaitwa PK its a Philososphical movie iliyojikita katika kuelezea tofauti za dini duniani ni jinsi gani hazina maana.
Basi umemaliza...kwenye hii movie ndio jamaa kaonesha kichwa chake halisi
 
Nshaiangalia zaidi ya mara 30, nzuri Sana. Lakin Kuna movie moja niliwah Iona kuanzia Kati mdada mwalim ila Ana matatizo Kama anabanwa na kwikw alaf ni mwalim was darasa la watukutu lakin mwisho was siku linakuja kutoa wanafunz Bora nataman niione Tena ila jina sikumbuk
 
Bado hujaielewa rancho sio kijana wa kimaskin kaiangalie tena

Anzia mwisho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom