Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,340
- 3,193
yah ameportray vitu vya maana sana ukivitafakari kiundanYeeah ni nzuri hasa ujumbe wake
yah ameportray vitu vya maana sana ukivitafakari kiundanYeeah ni nzuri hasa ujumbe wake
Picha hii inaukweli kuhusu dini lakini ni ngumu kukubalika kwa wakati huu.yah ameportray vitu vya maana sana ukivitafakari kiundan
ni kweli kule umasikini ni kama kibera,tandale na bong'onyoNa hali halisi ya India
Kama ulisoma "h" kunani ni lazima iwe hivyo...Katika movie za kihindi ninazozienda zikiwekwa mezani 3 idiots haipo. Halafu wahindi movie zao za zamani ndio bomba sana
Choo kwa foleni halafu mtu anamiliki viosk vya Choo.ni kweli kule umasikini ni kama kibera,tandale na bong'onyo
hatuchekani kwakweli..
Ni kweli kabisa inahitaji fikra huru sana kuelewa. Watu wengi kwa sasa wamekuwa conditioned kuamini badala ya kujua uhalisia uliopo, kuna tofauti kubwa between knowing and believingPicha hii inaukweli kuhusu dini lakini ni ngumu kukubalika kwa wakati huu.
Basi for your information advance nimesoma sayansi yenye Physics & Chemistry mwishoni malizia itakayokupendeza.Kama ulisoma "h" kunani ni lazima iwe hivyo...


kwa kwelli upande wa pili wa shilingi kwa hizi nchi zilizoendelea hawatakagi kutuonyesha...Choo kwa foleni halafu mtu anamiliki viosk vya Choo.
No ni Prabhas and others Bollywood starsMovie za Ajay Devgan hizo![]()
Huyo sijaangalia movie zake za mjini zenye magari apart from baahubali. Ofcourse nayo uwongo mwingi.No ni Prabhas and others Bollywood stars
Nakuunga mkono mkuu,PK ni moja kati ya movie za kihindi zilizotulia sana kimaudhui.Aamir Khan ana movie yake moja iliyouelezea ulimwengu mzima kwa masaa machache mno, ila ni movie nzuri endapo wewe ni free thinker for those limited thinker siwashauri kuangalia movie inaitwa PK its a Philososphical movie iliyojikita katika kuelezea tofauti za dini duniani ni jinsi gani hazina maana.
Yaani hakuna movie niipendayo na kuirudia mara kwa mara kama 3idiots. 3idiots naipenda sanaAisee mambo niaje wakuu?
Kwa wale waliowahi kuona baadhi ya movies za kihindi watakubaliana nami kwamba 3 Idiots ya Aamir Khan ni moja ya movie matata kabisa
Movie ilitoka 2009 , Binafsi niliiona mwaka 2011 , nikiwa kidato cha 6 kuna mshikaji wangu alikua akisoma pale Udsm hivyo siku moja nilimtimbia pale, jamaa akaniambia kwa vile unasoma PCM hii movie itakufaa sana,
Movie iliisha sikuelewa kivilee,
Mwaka uliofuata nipo chuoni nilisaka movie na kuirudia tena, the rest is history
Binafsi nimeona movies nyingi za kihindi kama
1. Taare zameen Par - Aamir Khan
Movie inazungumzia mtoto ambaye ana matatizo katika makuzi yake hivyo hawezi kusoma na haelewi chochote shuleni
2. My name is Khan- Shahruh Khan
3. Aatia
4. Koyla/Coyla
5. Sheeviy
Na nyinginezo ambazo Sikumbuki majina , ila kiukweli 3 Idiots imebaki kua movies bora kabisa kwangu kwa movie za kihindi,
Rancho - kijana mmoja maskini anasoma ili ampatie cheti kijana mmoja wa tajiri,
Chatur
Raju
Mr Virus"This is symbol of excellence "