Designated suvioursSidhani kama iliendelea baada ya season 10.
Ila Bauer kaigiza series nyingine kama Rais wa Marekani, nimeona wanaitangaza juzi kati.
Inaonekana tamu sana, ngoja nikumbuke jina lake niilete hapa.
US marshal anataja namba yake captain Tom Chandler. Hiii imefanana Sana na last resort kama uliwahi itazama ila ikawa canceled.Ni ile hali ya watu kutengeneza ugonjwa ambao utaua watu kwa kasi kupunguza population ila kwa maslahi yao binafsi sasa serikali baada ya kugundua hilo tatizo wakamtafuta the best doctor afanye research ili aweze kupata dawa, doctor akawekwa kwenye meli ya kivita pasipo captain na Crüe yake kujua chochote, baada ya kuanza kupata misukosuko kutafutwa kwa doctor mara meli kutaka kutekwa ikabidi captain ambane doctor ili ajue ukweli hapo ndipo movie inapoanza
Sasa lazma uielewe mkuu kaitafute
T-BAG achana na huyu mzee kabisaTheodore Bagwell..
Daaah nakubaliana na ww mkuu walichoma kuicancelSeries waliocancel nikajisikia vbaya ni EVENT aisee we acha tu
Huo ni ukweli that's why wakaicancelSeries waliocancel nikajisikia vbaya ni EVENT aisee we acha tu
Designated survivorSidhani kama iliendelea baada ya season 10.
Ila Bauer kaigiza series nyingine kama Rais wa Marekani, nimeona wanaitangaza juzi kati.
Inaonekana tamu sana, ngoja nikumbuke jina lake niilete hapa.
Uko wapi mkuu?naihitaji hiyo 24Nina mzigo wote wa 24 from season 1 hadi season 9 live another day.
Na kwa sasa naendelea na Eric Carter katika 24 legacy season 1.
24 nimeangalia na kurudia season kuanzia ya kwanza hadi 9 zaidi ya Mara kumi. Yaani najua kabisa hapa mbele Jack atafanya hivi lakini still natazama. Remember more than ten times.
Hali hii inanikumba kwenye movie tu ambapo movie nazorudia Mara kwa Mara hata idadi sikumbuki ni "Troy" na "My name is Khan"
To make it short ingawa nilianza kutazama prison break kabla ya 24, lakini kwangu mm 24 ni bad news na imeniathiri Sana kwani kila nikipata new series nawaza if itakua kali kuliko 24.
Nawaomba tuiheshimu 24 tuipumzishe maana sijawahi kuona other series zikipambanishwa na zingine isipokua 24, so unaweza kuona why.
Ndo maana ya star24 ni ypuuzi....et kila episode jak bawa anaonekana ndo kaokoa jahazi