24 series na prison break ipi kali?

ila jack bauer watu walikua wanamtia kashfa sana sijui sababu ya alivo aggressive mpaka ukikaa mwenyewe unabak kucheka tu! kuna moja ivi ametoka kumtesa paul raines mume wa audrey, alivoondoka kwenye chumba icho ki paul kinamwambiaje audrey eti audrey your boyfriend is just a THUG with a badge!! yani kwamba habehave kama mfanyakazi wa serikali, kwamba ni hicho kitambulisho tu kinamfanya awe mfanyakazi wa serikali ila kiuhalisia ni JAMBAZI la kutupwa!
 
1ecd1e430ea8df61339d1764e0f6fae0.jpg
 
Hii 24 ya saiz naona bado haijanikosha kama ya jack baure.. Kuna kitu designated survivor yupo jack baure humo inakuja kasi balaa.. Saiz mpango ni huku jaka baure huku kuna kina scoffield wanafanya mambo..
 
24 ya jack bauer ile ni level nyingine nakumbuka hiyo time nikiwa nairobi zilikuwa zinagombaniwa yaani mtu unaeza kesho morning till giza ikiingia umekodoa tu kwa tv..let bauer aitwe bauer hapana chezea yule jamaa akili nyingi sanaa
 
Jaman mwenye kumbukumbu ya prison break season 4 kuna gar ambayo team michael walikua wanalitumia,,nadhan ni toyota ile lakin nmeshindwa kujua ni toyota aina gan,,lile jeusi lile nataka sana kujua aina gan ya toyota
Inaonekana na ww ni mdau wa magari kama mm.. Ipe gari inaitwa Toyota Sequoia ya 2010 kama ckosei.. Ni gari kali sana.. Na bei yake sio ya kitoto
 
Huwezi pata jibu moja inatengemea na maoni ya mtu aliyetazama wewe umeona 24 ni bora zaidi ila kwangu prison break ni bora kabisa, katika nyanja hizi kwanza story yake ilikuwa na uhalisia kwa kiasi kikubwa, tofauti na 24 ambayo ilikuwa ipo kimaigizo zaidi, 24 imekaa kama movie tu ya kuburudisha nikiwa na maana action movie. Ila prison break kuanzia mwandishi hadi waagizaji walifanikiwa kuweka mazingira ya uhalisia sana. Kwa mtazamo wangu prison break bora kuliko 24, japo zote series nzuri kuangalia.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom