Dodgers Gamers
Member
- Aug 20, 2025
- 86
- 103
Habari kwako msomaji
Moja kwa Moja kwenye msaada, Kuna series Fulani ya kikorea ambayo niliifuatilia miaka kati ya 2017/19, ni ya kijeshi.
Mwanzo ni mwanaume aliyekuwa akisafirishwa ndani ya treni na wanajeshi ambapo pia alikuwa nimtoto wa kiongozi jeshini alikuwa amevalia mavazi ya kawaida kabisa.
Pia ndani ya hiyo hiyo treni kulikuwa na Mwalimu wa saikolojia, aliyekuwa akielekea huko huko jeshini. Pia kulikuwa na Bi dada aliyekuwa na mama yake mgonjwa, ambapo aliingia kwenye sintofahamu na mwanaume niliyemweleza hapo juu.
Lakini pia kulikuwa na wauaji waliotumwa na mpinzani wa baba'ke na huyo jamaa. Wakati wauaji wakiwa kwenye harakati za kumuua jamaa mwana mama wa saikolojia alitupwa nje ya treni na Bi dada mwenye mgonjwa kuchukua nafasi yake.
Kwa mwenye kuitambua hii series anisaidie jina tafadhali🙏🙏🙏🙏