Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,622
Jack Bauer ameniharibu sana kwenye movie, yaani anajitahidi reality na fiction hazitofautiani
Baada ya 24, ni bora nisome Novel tu za kina Robert Ludlum, Sheldon, J. H. Chase, Mario Puzo, Ian Fleming kuliko kuangalia movie iliyocopy 24.
.. kachero ...kizabizabina...