Lalo Salamanca
JF-Expert Member
- Dec 9, 2012
- 1,553
- 1,149
We got "24 LEGACY" now
Inaanza 24 kulingana na wewe ila kwa Mimi prison break bado cjapata series ya kuirithi hata niangalie kila siku siichoki.panga upya list yako mkuu yani prison uliganishe na za kikorea hapo mkali wa prison ni 24 tu
season 1 and 2 hazipaswi kulinganishwa na upuuzi kweli lakini 3 na 4 hakuna cha maana sana labda tu wait season 5 labda inaweza ikawa ni zaidi
hakuna series inayoitwa priaon break au ni mpya mkuu
rudi ukaiangalie vizuri prison
kiufupi ni kwamba inaanza 24 then prison break asikwambie mtu hizi ndio show Kali zaidi mpaka sasa.
Ila kilichoandikwa umekielewa,but unajifanya akili zimeruka tupanga upya list yako mkuu yani prison uliganishe na za kikorea hapo mkali wa prison ni 24 tu
season 1 and 2 hazipaswi kulinganishwa na upuuzi kweli lakini 3 na 4 hakuna cha maana sana labda tu wait season 5 labda inaweza ikawa ni zaidi
hakuna series inayoitwa priaon break au ni mpya mkuu
rudi ukaiangalie vizuri prison
kiufupi ni kwamba inaanza 24 then prison break asikwambie mtu hizi ndio show Kali zaidi mpaka sasa.
Sidhani kama iliendelea baada ya season 10.Achana na 24 aisee natamani muendelezo wake Russia ilikuaje
Jack Bauer ameniharibu sana kwenye movie ,yaani anajitahidi reality na fiction hazitofautianiShida sana, kila movie unakuwa unailinganisha na 24, unaona kabisa haina viwango.
Designated survivor...Sidhani kama iliendelea baada ya season 10.
Ila Bauer kaigiza series nyingine kama Rais wa Marekani, nimeona wanaitangaza juzi kati.
Inaonekana tamu sana, ngoja nikumbuke jina lake niilete hapa.
Theodore Bagwell..
Mm mwenyewe ninaiangalia kupitia app ya showbox muda huu ...season 3 episode 7 ni noumaPriaon break now nadhani naiangalia kwa mara ya kumi,ni noma hiyo series..24 haiingii ndani
![]()
Naweza sema hivi "BILA T.BAG PRISON BREAK SI KITU" 100%
.... kwenye prison break t-bag ni kama chumvi kwenye mboga.....
....Haichoshi mkuu,ni series moja matata,Mm mwenyewe ninaiangalia kupitia app ya showbox muda huu ...season 3 episode 7 ni nouma
dah t bag yupo mjengoni tena yani itakuwa ni hatari juu ya hatari yani![]()
![]()
.... kwenye prison break t-bag ni kama chumvi kwenye mboga.....
![]()
....
season 2 na 3 ilikuwa siyo kumtorosha tena kaka jera Bali mikiki mikiki ya kukimbizana na FBI pamoja na scorfild kurudi gerezani tena(sona)Prison break kali season 1,2 n 3 labda.. Baada ya hapo ikapoteza muelekeo maana dhumuni lilishatimia (kumtorosha kaka jera), ila 24 moto ni ule ule mwanzo mwisho magaidi wanabadilika tu
katika hali ya kuchangamsha jukwaa tu na kukulekebisha nasio kwamba nilikuwa sijakuelewaIla kilichoandikwa umekielewa,but unajifanya akili zimeruka tu
Pamoja sana mkuudah t bag yupo mjengoni tena yani itakuwa ni hatari juu ya hatari yani
season 2 na 3 ilikuwa siyo kumtorosha tena kaka jera Bali mikiki mikiki ya kukimbizana na FBI pamoja na scorfild kurudi gerezani tena(sona)
katika hali ya kuchangamsha jukwaa tu na kukulekebisha nasio kwamba nilikuwa sijakuelewa