Nina mzigo wote wa 24 from season 1 hadi season 9 live another day.
Na kwa sasa naendelea na Eric Carter katika 24 legacy season 1.
24 nimeangalia na kurudia season kuanzia ya kwanza hadi 9 zaidi ya Mara kumi. Yaani najua kabisa hapa mbele Jack atafanya hivi lakini still natazama. Remember more than ten times.
Hali hii inanikumba kwenye movie tu ambapo movie nazorudia Mara kwa Mara hata idadi sikumbuki ni "Troy" na "My name is Khan"
To make it short ingawa nilianza kutazama prison break kabla ya 24, lakini kwangu mm 24 ni bad news na imeniathiri Sana kwani kila nikipata new series nawaza if itakua kali kuliko 24.
Nawaomba tuiheshimu 24 tuipumzishe maana sijawahi kuona other series zikipambanishwa na zingine isipokua 24, so unaweza kuona why.