24 series na prison break ipi kali?

24 series na prison break ipi kali?

Nina mzigo wote wa 24 from season 1 hadi season 9 live another day.

Na kwa sasa naendelea na Eric Carter katika 24 legacy season 1.
24 nimeangalia na kurudia season kuanzia ya kwanza hadi 9 zaidi ya Mara kumi. Yaani najua kabisa hapa mbele Jack atafanya hivi lakini still natazama. Remember more than ten times.
Hali hii inanikumba kwenye movie tu ambapo movie nazorudia Mara kwa Mara hata idadi sikumbuki ni "Troy" na "My name is Khan"

To make it short ingawa nilianza kutazama prison break kabla ya 24, lakini kwangu mm 24 ni bad news na imeniathiri Sana kwani kila nikipata new series nawaza if itakua kali kuliko 24.
Nawaomba tuiheshimu 24 tuipumzishe maana sijawahi kuona other series zikipambanishwa na zingine isipokua 24, so unaweza kuona why.
 
Aiseeh umenipa raha sana acha nijipumzishe kidogo
 
Embu chagua japo nipo hapa naangalia redemption yake jack alipokimbilia Africa
Okey. Kwakua unaangalia redemption basi imalizie. Then Kama utaweza rudia season 5 ambapo jack yupo in hiding living under fake identity halafu anaona news president wake kipenzi kawa shot dead.
Huo msako wake.
 
Hiyo sijaiangalia mkuu napata fununu tuu kutoka kwa wadau nataka nikalie kitako niithaminishe mwenyewe, ama kuna lolote waweza nidokeza kwa mbali?
Ukiipata hakikisha umekula kwanza na hujatenga nyama jikoni usije gombana na mtu bure... Yaani kifupi saivi niko dilemma je Jack na Eric Carter nani zaidi. Imagine hata mm Pro-Jack naanza pata maswali hayo.
Now ipo episode ya 6.

Narudia tena usiitazame huku umeweka kitu jikoni
 
24 hrs ni noma inavyosemekana ni series iliyoongoza kutazamwa na government leaders wa nchi mbali mbali includes mapresident
 
Tenga muda angalia kwa makini sana kitu kinaitwa The Vikings ni balaa humo mzee wa kazi king's Ragnar na mzee wa kafala Frock y
humu ndani watu hawajui series ndo nlichokiona kuna vitu vikali vipo sokoni ni laana nyie mnabaki na 24 na prison break leo? hiyo kitu viking achaa kabisa na kuna ile game of throne ni hatari tupu
 
Ukiipata hakikisha umekula kwanza na hujatenga nyama jikoni usije gombana na mtu bure... Yaani kifupi saivi niko dilemma je Jack na Eric Carter nani zaidi. Imagine hata mm Pro-Jack naanza pata maswali hayo.
Now ipo episode ya 6.

Narudia tena usiitazame huku umeweka kitu jikoni
Wacha nitoke nikaitafute mkuu maana umenihamasisha vilivyo
 
humu ndani watu hawajui series ndo nlichokiona kuna vitu vikali vipo sokoni ni laana nyie mnabaki na 24 na prison break leo? hiyo kitu viking achaa kabisa na kuna ile game of throne ni hatari tupu
Hebu tulia mkuu...ukitaka kujua tunafatilia series nenda kwenye uzi special for series...
Hapa mada ilikua prison break vs 24.
Sasa ukaona GOT na vikings ni vitu Mpya kwamba hatujaziona na kufatilia sio? Then lazima Kama unafatilia hzi mambo ujue kitu inaitwa genre. GOT n vikings Sawa zina action ila ni historical drama.
Kuna series wametoa leo marvel inaitwa "iron fist" unaijua Kama imetoka?

Hatukurupuki tunaenda kwa muongozo wa mada.
 
Back
Top Bottom