Parallel ndiyo option salama zaidi hapo, hasa kama voltage za panel zinafanana. Series itapandisha voltage na inaweza kuzidi kiwango cha charge controller/battery.Hellow Great Thinkers!
The LORD is good!!!
wakuu, nina visolar viwili hapa 30watts na 15watts ipi... Connection nzuri kati ya series na parallel....
Kwa batter ya 18(AH)...
Karibuni sana wakuu....
Asante sana mkuu... noted!!! ila situmii charge controller haitazingua?Parallel ndiyo option salama zaidi hapo, hasa kama voltage za panel zinafanana. Series itapandisha voltage na inaweza kuzidi kiwango cha charge controller/battery.
bila charge controller inaweza kuleta shida. ⚠️Asante sana mkuu... noted!!! ila situmii charge controller haitazingua?
Asante mkuu NOTED!!!bila charge controller inaweza kuleta shida. ⚠️
Panel 30W + 15W ukiunganisha parallel, current itaongezeka na battery inaweza overcharge, hasa ikiwa inaachwa muda mrefu kwenye jua.
Kwa battery ya 18Ah, ni vizuri kutumia solar charge controller hata kama ni ndogo tu. Ni salama zaidi kwa battery na mfumo mzima.
Yani una madini hivi unashindwa hata kufungua tution unakalia… au basi🤦🏽♀️bila charge controller inaweza kuleta shida. ⚠️
Panel 30W + 15W ukiunganisha parallel, current itaongezeka na battery inaweza overcharge, hasa ikiwa inaachwa muda mrefu kwenye jua.
Kwa battery ya 18Ah, ni vizuri kutumia solar charge controller hata kama ni ndogo tu. Ni salama zaidi kwa battery na mfumo mzima.
Hivi leo hajafungua uzi wa kuomba 25 000/=?Yani una madini hivi unashindwa hata kufungua tution unakalia… au basi🤦🏽♀️
Ai inaweza kufanya ukaona mtu yuko vyema upstair😀Yani una madini hivi unashindwa hata kufungua tution unakalia… au basi🤦🏽♀️
Tushavuka huko tuko 50s tunaitafuta laki😎Hivi leo hajafungua uzi wa kuomba 25 000/=?
Ndiomaana hata yeye ananishangaa🙆🏽♀️Ai inaweza kufanya ukaona mtu yuko vyema upstair😀
Ndio hivyoNdiomaana hata yeye ananishangaa🙆🏽♀️
Hapana mkuu... tunajiandaa na el nino kama umeme utakatika tusibaki gizani..... tuendelee kujiandaa wakuu nadhani Equation x hili nalo lakuzingatiamkuu wewe si ulisema upo katoro geita wanapoishi matajili mbona unasumbuka na izo takataka ndogo
watu mna vipaji sana vya kupindua mezaHapana mkuu... tunajiandaa na el nino kama umeme utakatika tusibaki gizani..... tuendelee kujiandaa wakuu nadhani Equation x hili nalo lakuzingatia
Eeh eeh hatari.Tushavuka huko tuko 50s tunaitafuta laki😎