24 series na prison break ipi kali?

24 series na prison break ipi kali?

Inaonekana na ww ni mdau wa magari kama mm.. Ipe gari inaitwa Toyota Sequoia ya 2010 kama ckosei.. Ni gari kali sana.. Na bei yake sio ya kitoto
Ha ha ha we acha tu ndugu,,miminhua siangaliag tu matukio hua na angalia na vitu navyopenda,,kama hii season 5 nataka kujua ile gar anayoendesha Sara,,ile nayo imenikuna ile
 
Ha ha ha we acha tu ndugu,,miminhua siangaliag tu matukio hua na angalia na vitu navyopenda,,kama hii season 5 nataka kujua ile gar anayoendesha Sara,,ile nayo imenikuna ile
Kweliii.. Ile ya sara hii season 5 ni bonge wa gari
 
24 nilitokea kuizimia sana,hm ilikua bifu na waifu nikitoka job busy na laptop mpaka saa 9 usik
Bauer noma sana ,hebu anza kuangalia kitu chake kipya kinacho trend inaitwa destinated survivor
Kama shemeji hajanuna tena safari hii sio mimi
 
Bauer noma sana ,hebu anza kuangalia kitu chake kipya kinacho trend inaitwa destinated survivor
Kama shemeji hajanuna tena safari hii sio mimi
Ha ha ha atazoeya maana sipigi ugimbi,atatulia tuu nala series,
I hope vyomba vya usalama hapa hm wamejifunza kitu kwenye 24
 
Inategemea watu huwa mna base ktk mambo yapi mnapoangalia series au movies. Lakini iache 24 iitwe hivyo na itabakia kuwa the best of all Times. Mpaka sasa kila nikiangalia series nyingine simalizi hata season moja huwa naona haina maana tena ni kama wamekop tu idea
Zile mutu zinaitwa jack bauer na chloe obrain ndio waigizaj walio nivutia sana,
Combination yao inatisha
 
Prison break Habari ingine hakuna 24 angalau lost Japo wakimaliza vibaya
Hivi unajua 24 ilisababisha Jack Bauer (kiefer sunderland) aende jeshini USA kutoa elimu kwamba ile alikua anaigiza tu!!..24 iliharibu akili za wanajeshi aty!, huezi ifananisha na PB iliyohit kwa ujanja tu!.
 
eti pb imehiti kiujanja ujanja dah
 
Back
Top Bottom