muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,203
prison ipo vizur sana,mipango kibao naakili zaidi
CanceledWakuu vipi kuhusu American Odyssey maana sijafanikiwa kupata season two au bado hawajatoa?
Kwasababu gani? Nijuze mkuu nipo gizani halafu niliipenda sana hiyo seriesCanceled
Kwa sababu alikuwa ni Rais asiye kuwa na msimamo.Logan hahaha... Mbona hapo mwisho umesisitiza mzee![]()
Nataka kuijua hii kituPerson of interest
Person of interest ndio zilimmaliza logan, kiti chenyewe alikipata sio kwa halali matokeo yake akawa anafanya vitu vya ajabu pasipo kujua madhara yake, most of the time hakuwa na amaniKwa sababu alikuwa ni Rais asiye kuwa na msimamo.
nigga yupo hai hakufa na yumo ndani ya nyumba kwenda kumokoa maiko katika gereza LA Yemen in prison break season 5Aisee yule nigga ana sura ya kipole ila ana hatari. Mahone alimuua kibabe
Tatizo mkali mahone hayupo kwenye season 5 jambo ambalo wameharibuKwenye PB Mahone na yule nigga aleuliwa kwa kufungwa jiwe ndio character nnao wakubali mule.
9 is not equal to 4 ndio maana 24 inaoneka bora kuliko prison break kwasababu prison break ina season 5 ikiwa na hii inayokuja lakini 24 ina season 9 na bado inaeendelea but 24 IS THE BESTDuh! Mlivyoisifia hiyo 24, acha nianze kuitazama labda naweza kuikubali ingawa nilikuwa naiman hakuna series itakuwa kali ya kizungu kama Prison break
Jack Bauer kwa asili ni muingerezaJack bauer nadhani ni mu America. Rangi mzungu.
Akili nyingi sn.
Japo ni fupi tofauti na Prison Break ila 24 Hours ni Kiboko
Hapo umenena. Kwangu mimi 24hrs kisha the last ship. Hizo zingine zitasubiriWakuu embu tafuteni THE LAST SHIPmpate mautamu hiyo series ni shidaah kitu cha Erick Den (Captain Chandler)
Alichanganyikiwa pale Fayad alipomueleza wazi kuwa Amru al Asad siye anaefanya ugaidi. Bali amekuja kumzuia yeye. Hivyo ctu wanakwenda kumuua mtu asie na hatiaIle alikua anatolewa ili kuexchange deal na terrorist wasifanye attack on US soil. Jack akaridhia kufa...anashangaa terrorist wanasema plan za kulipua ziendelee..acha asababishe mambo.
Ile alipomuua mtu kwa kumng'ata mm ndio iliniacha hoi![]()
![]()
Nadhani shida kubwa ni kwamba alikuwa easy kuendeshwa hata followers wake walikuwa wanalijua hiloPerson of interest ndio zilimmaliza logan, kiti chenyewe alikipata sio kwa halali matokeo yake akawa anafanya vitu vya ajabu pasipo kujua madhara yake, most of the time hakuwa na amani
kosa ulilofanya ni kuifuatilia ITV..... narudia kilichosemwa na mcgangiaji fulani kuwa kwa karne iliyoanzia mwaka 2000 hapajawahi kutokea series ya kuizidi 24....24 ndio nini ati nilijaribu kuifuatilia kipindi kile ITV but haikuniingia kwa moyo.....kitu prison break yan naona april mbali kwa season 5 Prison Break (season 5) - Wikipedia
Sidhani kama iliendelea baada ya season 10.
Ila Bauer kaigiza series nyingine kama Rais wa Marekani, nimeona wanaitangaza juzi kati.
Inaonekana tamu sana, ngoja nikumbuke jina lake niilete hapa.
Wakuu vipi kuhusu American Odyssey maana sijafanikiwa kupata season two au bado hawajatoa?