Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,425
- 109,992
Hapana sijui...!Hivi unajua 24 ilisababisha Jack Bauer (kiefer sunderland) aende jeshini USA kutoa elimu kwamba ile alikua anaigiza tu!!.
Lini alienda? Kufanya nini?
Weka ushadi nisome.
Iliharibu vipi akili za wanajeshi? Wanajeshi wa kitengo gani?24 iliharibu akili za wanajeshi aty
Weka ushahidi nisome
PB imehitije kwa ujanja ujanja?huezi ifananisha na PB iliyohit kwa ujanja tu!.
Kwanini isifananishwe na 24hrs?
Utofauti na ufanano kati ya PB na 24 ni upi?