Nakubariana Na wewe! Sasa Kama hujatizama IRISS ya Kikorea emu nenda kaitizame mkuu! Ina Season 1&2 Tu ila Ni shida! Sometimes unatamani uingie kwenye Screen ukasaidie, Ni umafia wa kutisha unaoakisi really life Kati ya North&South Korea.Prison break niliielewa season 1na 2..ni best kwa kwel..ila kuanzia season 3 hapo naona figisu nyingiii mpk ladha inapotea ya muvi....24 level nyingine,ile ni shida aisee hasa kwenye mpangilio wa matukio,ni shida ile series...imefikia hatua series nnazoziangalia km hazifanan fanan na 24,hta mda wa kuziangalia sina kbsa...24 imeniharibu...ile SERIES ni shida
Ngoja niitafute mkuuNakubariana Na wewe! Sasa Kama hujatizama IRISS ya Kikorea emu nenda kaitizame mkuu! Ina Season 1&2 Tu ila Ni shida! Sometimes unatamani uingie kwenye Screen ukasaidie, Ni umafia wa kutisha unaoakisi really life Kati ya North&South Korea.
Upelelezi, Action, Mapenzi vyote ndani!
Last ship inahusu n?Hapo umenena. Kwangu mimi 24hrs kisha the last ship. Hizo zingine zitasubiri
Kwel mwanangu unakumbikumbu sanaAlichanganyikiwa pale Fayad alipomueleza wazi kuwa Amru al Asad siye anaefanya ugaidi. Bali amekuja kumzuia yeye. Hivyo ctu wanakwenda kumuua mtu asie na hatia
Sio inaonekana tu ni kali kwel kwelYeah pia na Nikita(maggie q) yumo inaonekana kali sna
Tatizo lao hawa ni lugha yao,,,mi kuangalia huku nasoma chini cwez kwa kwelNakubariana Na wewe! Sasa Kama hujatizama IRISS ya Kikorea emu nenda kaitizame mkuu! Ina Season 1&2 Tu ila Ni shida! Sometimes unatamani uingie kwenye Screen ukasaidie, Ni umafia wa kutisha unaoakisi really life Kati ya North&South Korea.
Upelelezi, Action, Mapenzi vyote ndani!
Mkuu Kuna watu wanatizama Movie za Kizungu huku haelewi Kiingereza hata robo, watu wanatizama Movie za Kihindi Na wote hawa wanaweza kukuhadithia hizo Movie Na ukaelewa!Tatizo lao hawa ni lugha yao,,,mi kuangalia huku nasoma chini cwez kwa kwel
Ni ya kivitaLast ship inahusu n?
Sijazoea kwa kwel,,,kama neno ctalisikia vzr nitarud sekunde kumi nyuma,,thts y hata napodownloud movie zangu sipend kuweka subtitle kabsaMkuu Kuna watu wanatizama Movie za Kizungu huku haelewi Kiingereza hata robo, watu wanatizama Movie za Kihindi Na wote hawa wanaweza kukuhadithia hizo Movie Na ukaelewa!
Binafsi napenda Movie yenye Subtitles, labda Kama wewe Ni mvivu wa kusoma!
Mimi napotizama Movie ukiacha mtiririko wa Movie, naangalia/Kusikiliza Dialogue, Camera angle, shots, fades, Location Na Subtitles Na vyote natizama kujifunza huku naburudika!
Ni ile hali ya watu kutengeneza ugonjwa ambao utaua watu kwa kasi kupunguza population ila kwa maslahi yao binafsi sasa serikali baada ya kugundua hilo tatizo wakamtafuta the best doctor afanye research ili aweze kupata dawa, doctor akawekwa kwenye meli ya kivita pasipo captain na Crüe yake kujua chochote, baada ya kuanza kupata misukosuko kutafutwa kwa doctor mara meli kutaka kutekwa ikabidi captain ambane doctor ili ajue ukweli hapo ndipo movie inapoanzaLast ship inahusu n?
IRIS nimeangalia but tatizo lao wamefanya kosa namna ya kuhusisha mapenzi na visa halisi. Haiwezi fikia level za 24. Pia wana fiction ambazo in real life unaona ni uwongoNakubariana Na wewe! Sasa Kama hujatizama IRISS ya Kikorea emu nenda kaitizame mkuu! Ina Season 1&2 Tu ila Ni shida! Sometimes unatamani uingie kwenye Screen ukasaidie, Ni umafia wa kutisha unaoakisi really life Kati ya North&South Korea.
Upelelezi, Action, Mapenzi vyote ndani!
Definitely, tunaenda sawa President Kirkman`
Bila kusahau "Designated Survivor"
We sio mzima ati eh!achana na 24 aseee...
inafuatiwa na show ya kibabe inaitwa Game of Thrones ikifuatiwa na Series moja matata sana ya kikorea inaitwa Dae Joyoung...
halafu ndio prison break.