20m itanifikisha wapi katika ujenzi wakuu?

Ww hata kibanda cha kuuza mihogo humiliki unaonekana

Toka kwa shemej kabla hajakuomba unyumba
Nina nyumba kubwa. Ina Fence paving na iko mjini Dsm. Goba.

Na nyumba ya wapangaji 1, chumba master na sebule. 😊😊😊

Tuache nyumba. Ww kwa akili zako, ukiwa na pikipiki utakuwa umefanikiwa sawa
Huna unachomiliki.
Ukifa leo hauna Legacy unayoiacha.😎😎😎😎
 
Huna unachomiliki
Ukifa leo hauna Legacy unayoiacha.😎😎😎😎
 
Ujenzi kama jamaa mmoja hapo juu alivyosema, inategemea unajenga kwenye mazingira gani, flat surface au mwinuko,halafu pia na ukubwa wa vyumba na sebule kwsbb itaamua idadi ya matofali, cementi,bati n.k......Pia umbali wa unapochukulia materials ya ujenzi
 
Habari marafiki.
Mkononi nina kama 20m hivi,kuna kakiwanja kama ka 25×20 nimekapata morogoro road eneo linaitwa madafu kwa 3m,so mkononi nitabakiwa na 17m.je wakuu naweza kweli kujenga nyumba ya walau room 3 ikafika usawa wa lenta au niendelee kusubiri kwanza?
Mpaka unapaua kabisa mkuu! Madirisha na milango utakuwa unaweka moja mojo ukiwa ndani kwako
 
Habari marafiki.
Mkononi nina kama 20m hivi,kuna kakiwanja kama ka 25×20 nimekapata morogoro road eneo linaitwa madafu kwa 3m,so mkononi nitabakiwa na 17m.je wakuu naweza kweli kujenga nyumba ya walau room 3 ikafika usawa wa lenta au niendelee kusubiri kwanza?
Linta inafika bila shida, na unabakiwa na kama 3M hivi

Ukijenga ya room 2 unaezeka kabisa
 
Nadhani unajionea jinsi gani miruzi ni Mingi. Beba hiyo 17m tafuta fundi, ingia site...utaona plan yako ya jengo unalohitaji utafikia hatua gani. Mwingine anataka uwe na 80m ndio uanze ujenzi😀
 
Nina nyumba kubwa. Ina Fence paving na iko mjini Dsm. Goba.

Na nyumba ya wapangaji 1, chumba master na sebule. 😊😊😊

Tuache nyumba. Ww kwa akili zako, ukiwa na pikipiki utakuwa umefanikiwa sawa
Huna unachomiliki
Ukifa leo hauna Legacy unayoiacha.😎😎😎😎
Labda goba ya Dodoma uko ndanindani

Toka kwa shemej haraka sana, labda kama Unataka kua mke mwenza
 
Habari marafiki.
Mkononi nina kama 20m hivi,kuna kakiwanja kama ka 25×20 nimekapata morogoro road eneo linaitwa madafu kwa 3m,so mkononi nitabakiwa na 17m.je wakuu naweza kweli kujenga nyumba ya walau room 3 ikafika usawa wa lenta au niendelee kusubiri kwanza?
Hiyo hela na bati unapiga,kaa sambamba na mafundi maana niwezi kweli,....na unahamia (tuache kutishana kuhusu issue za ujenzi ispokuwa kuna isue ndogo ndogo utamalizia baadae)
 
Habari marafiki.
Mkononi nina kama 20m hivi,kuna kakiwanja kama ka 25×20 nimekapata morogoro road eneo linaitwa madafu kwa 3m,so mkononi nitabakiwa na 17m.je wakuu naweza kweli kujenga nyumba ya walau room 3 ikafika usawa wa lenta au niendelee kusubiri kwanza?
Kutegemea na standard ya jengo lako hata kumaliza unaweza.
 
(1) Fundi kujenga - Milioni 2

(2) kupiga plaster- milioni 1

(3)kupauwa mpaka gypsum-1.2m

(4)Tiles- milioni 1

(5)umeme- Laki 5

(6)plumber-Laki 5

(7) Rangi-laki 9

Jumla milioni 7. Hii inaenda kwa mafundi t, sasa twende kwenye vifaa.

(1) matofari -elfu 3×1100= milioni 3.1

(2)nondo 20× 35,000= 700,000/=

(3) ciement mifuko 70×19,000= milioni 1.3

(4)mbao na bati-milioni 5.5

(5)gypsum board-30× 18,000= laki 5.4

(6)rangi(Binder ndo 1, weather guard ndoo 2, silk ndoo 2, Wall putty mifuko 20= milion 1.2

(7)vifaa vya umeme-milion 1.4

(8)Tiles- milion 3

(9) kokoto na mchanga -milioni 1

(10) madirisha ya chuma +mrango wa chuma=milioni 1.2

(11)mlango wa mbao na fremu yake-milion 1.3

(14) kifusi,misumari,bindig wire,mbao za sahani,mbao za linta, maji, gypsum screw,sink za chooni, nyavu za mbu, milango ya chooni ya kioo.
-laki 7.

Jumla Tsh 27, 270, 000/=

Ukiwa na hii uwakika kabisa kasoro aluminium itasubiri
 
Hizo cement mifuko 70 ni pamoja na plaster??
 
Back
Top Bottom