Wakuu nisaidieni mdogo wenu gharama ya ujenzi wa muundo L

mzabhe

JF-Expert Member
Jul 16, 2017
261
279
Wakuu heshima yenu,

Mimi ni kijana ambaye bado nipo kwenye 20s ambaye bado najitafuta kwenye gurudumu hili la maisha. Naomba mnisaidie kunipa makadirio ya gharama za ujenzi muundo L chumba sebule na single room moja, walau kuufikisha kwenye lenta.

NB
Kiwanja kipo tayar
 
Mchoro huu hapa wakuu
20230716_194235.jpg
 
1. Unajenga mkoa gani?
2. Kiwanja kipo mlimani, au eneo lina maji, au eneo ni tambarare, au eneo ni solid groud, au eneo lina mawe?
3. Unapanga kujenga msingi kwa kutumia mawe ama tofali?
4. Je hivyo vyumba unatamani viwe vya futi 10 au 12?
 
1. Mkoa ni geita
2. Kiwanja kipo tambarare, solid ground
3. Msingi nataka uwe wa mawe
4. Vyumba nilitaka viwe futi 12, lakin hapa mnaweza kunipa ushaur zaid
 
Hongera kwa kufikiria kuanza ujenzi. Mimi nimeanza pia ujenzi na sasa nimefikisha kozi ya nne ambapo nimefunga mkanda. Nyumba yangu ni kubwa kuzidi yako. Vyumba ni vitatu, kimoja ni self contained viwili ni single rooms. kuna dinning, jiko na stoo. pia kuna choo cha public. vyumba vinaukubwa wa kawaida isipokuwa self ndio kidogo kinaukubwa unaonifaa.
mpaka hatua niliyofika sasa nimetumia tofali 720, cement mifuko 25, mawe trip 15. Nashukuru nimefanikiwa kurecord kila shillingi iliyotoka kuanzia hatua ya kwanza ya msingi.
Mchoro wa nyumba niliupata kutoka kwa nyumba niliyoipenda. Fundi wangu aliiamishia kwangu ile nyumba kama ilivyo
Mwanza. Eneo lenye kichanga
 
Hongera sana mkuu,, umeniinspire sana,
 
Kwa uzoef wako unaweza kunisaidia walau nkajua hadi lenta naweza kutumia sh ngap
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom