20m itanifikisha wapi katika ujenzi wakuu?

20m itanifikisha wapi katika ujenzi wakuu?

Hizo cement mifuko 70 ni pamoja na plaster??
Yah pamoja na plaster mkuu. Plaster ndani nnje mifuko 25 inatosha kabisa.kujengea mifuko 45 inatosha vizuri tu.mifuko ambayo nimesahau kuipigia hesabu ni ya floor
 
Inategemea na mahali ulipo na upatikanaji wa material.

Ukiwa kijijini, uhakika wa kujenga na kupau na kufanya plastering walau chumba kimoja inawezakana. Kwa mjini, unaweza kuishia ujenzi wa boma na kubakiwa na visent endapo utasimamia mwenyewe na unajua mahali material yanakopatikana na una ushawishi wa kupatania kwenye kila jambo. Usitumie madalali, utaishia kushibisha matumbo yao na hufiki popote


Ni vyema ukaanza mchakato mapema kabla hela hazijapata kazi nyingine. Hapo utakapoishia utatafuta kiasi cha kuendele a hadi utimize ndoto ya kuwa na nyumba yako


I wish you all the best
 
Habari marafiki.
Mkononi nina kama 20M hivi, kuna kiwanja kama 25×20 nimekipata Morogoro Road, eneo linaitwa Madafu, kwa 3M.

Mkononi nitabakiwa na 17M.

Je, wakuu, naweza kweli kujenga nyumba ya walau room 3 ikafika usawa wa lenta, au niendelee kusubiri kwanza?
UNA MILIONI 17, UNATAKA KUJENGA NYUMBA YA VYUMBA 3 — UTATOBOA?
 

Attachments

  • FB_IMG_1786363350648.jpg
    FB_IMG_1786363350648.jpg
    122.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom