2026 FIFA World Cup - Special Thread

Ronaldo alipendwa Sana Ila ukichunguza Hadi mashabiki wa Manchester na Madrid wamemgeuka kwasabab ya Ego
Njoo leo tujadili kwa upana hii mada kuhusu ego.

Twende kwa ushahidi kabisa halafu mwisho tulime nani mwenye ego na nani mwenye sifa za u-humble wa ku-pretend ilihali ana matukio mengi ya kipumbavu.
 
Mbali na FIFA, tumejua ni nani aliyekuwa akiwabeba 2022.

Di Maria ndio aliyekuwa msaada na stats zinaeleza.

Fainali ya 2015 kwenye Copa America Di Maria alitolewa nje dakika ya 29 baada ya kupata majeraha.

Fainali hiyo iliisha kwa Argentina kutolewa.

Fainali ya Copa America 2016 Di Maria alikuwa ametoka kwenye majeraha na hiyo mechi alicheza dakika 50 tu na kutolewa kwasababu hakuwa fit.

Mechi iliisha kwa Argentina kufungwa na kombe likaenda Chile.

Baada ya hapo hakuna fainali yeyote ambayo Di Maria alicheza na Argentina ikapoteza kikombe.
 
Unatumia nguvu nyingi saña kuuaminisha umma kwamba "Ronaldo is the best".

Messi anajipambania umaarufu wake, matendo zaidi.
Ronaldo anapambaniwa umaarufu wake, matokeo kidogo.
Basi ulivyo jikausha, ni kama hakijatokea chochote.

Hivi hii mnaifanyaje mpaka inawezekana?
 
WC si kipimo cha mchezaji kuwa GOAT! bali mafanikio binafsi ya mchezaji na mchango wake katika football vinamfanya awe GOAT, CR7 anastahili kuwa GOAT hata kama hajachukua WC.
Ungewaonesha na hii
 
 
Tujadili sasa stats za Anduje na Ronaldo kwenye mechi walizocheza dhidi ya Spaina.

Naanza na mimi, Ronaldo alikuwa na shot on target 2

Anduje alikuwa na nini?
Kwanza penaldo alikutana na Spain hatua gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…