2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Hebu angalia hii!

This is unforgivable.

Hata Cape Verde walicheza vizuri zaidi ya hivi.

Yaani kuanzia dakika ya 55 England walipofunga goli mpaka dakika ya 92 ambapo Argentina walifunga goli la pili, England walimiliki mpira kwa asilimia 12 tu!

Tactic ya wapi hii? Hata timu za Afrika zilicheza bora zaidi ya hivi.

Mnaacha kabisa kushambulia mnategemea nini? Mbinu ya ajabu kabisa hii.

Na si kwamba England hawakuwa na uwezo wa kushambulia. Wana uwezo mzuri kabisa na huenda hata wangefunga goli la pili kabla ya Argentina kusawazisha.

IMG_0249.jpeg
 
View attachment 3630232
England ni matapeli, Spain alikutana na France Iliyopo Bora lakini hawakupark bus walipopata goli moja
 
😂🤣😅 leo mmesahau kumlau Refa mna mlaum Coach, nyie wajukuu wa kikongwe penaldo mna vituko.
Sasa coach kosa lake likowapi, yeye kaongeza mabeki wakacheze na kukaba, kufeli kwao maana yake wana uwezo mdogo, nyie hii World Cup hakuna wa kumzuia Messi 🐐
Mashabiki wa Ronaldo wanampenda kwa sababu ana mapaja makubwa... World Cup kimewaramba watu tushavuka huko hatutaki tena mapaja.
 
Back
Top Bottom