2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kuna watu humu huwa hawaingii kwenye huu uzi ila wakiona tu Argentina imefungwa basi wanajaa humu kibao. Ngoja niwaite wabaya wetu, team roho mbaya waje waone shoo za mungu Messi... Naomba leo afunge goli moja tu
Numbisa huyu ndo certified hater
Espy_
Makiwendo
Shadeeya
Angel Nylon
Depal
Wengine nimewasahau...
1000060338.jpg
1000061336.jpg
 
View attachment 3629780View attachment 3629781
Hahahaaa. Hapo sitii neno mpaka aje mwanasheria wangu Greatest Of All Time.

Mtani eti mi toka lini nikaisema vibaya Argentina? 😀
 
Uko slow sana, nimetaja hizo timu sababu ni vibonde na endapo Portugal angezifunga zote angeongoza group
Umewaza vizuri, ila haukutakiwa kuishia hapo. Umesahau kulikuwa na Colombia ofsa?

Sasa hata hizo mechi tungeshinda bado tungeishia kuwa na point 7 ambazo ni sawa na Colombia na hii ndio ilikuwa inaonyesha jinsi gani kundi hili lilikuwa na ushindani.
 
Timu ina viungo bora wa Dunia ina the so called Goat sijui Gout lakini inashindwa kumfunga congo. Shame on them😆
Jamaa anatumia hoja dhaifu sana..

Ingekuwa ni hivyo hata PELE asingetajwa kwenye record za dunia.
Sababu hajacheza top leagues.

Ujue analazimisha kuhalalisha MeSsi anakuwa anabebwa na FIFA.
Swali jepesi Kikosi cha Portugal ukilinganisha na Argentina timu ipi imara zaidi?
 
Umewaza vizuri, ila haukutakiwa kuishia hapo. Umesahau kulikuwa na Colombia ofsa?

Sasa hata hizo mechi tungeshinda bado tungeishia kuwa na point 7 ambazo ni sawa na Colombia na hii ndio ilikuwa inaonyesha jinsi gani kundi hili lilikuwa na ushindani.
Yaani kundi lenye congo, uzbekstan ndio lina ushindani??
Yaani hilo kundi lilikuwa inajulikana nafasi ya kwanza na ya pili ni ya nani na nani tayari, ila ajabu ni kwamba Congo Mbuzi wako aliizidi point 1
 
Leta kwanza matokeo ya Ureno na Congo .. halafu twende mbele tena.
1-1

Shida ni nini?

Shida sio game ya Congo, shida ni kwamba kundi lilikuwa gumu kwasababu kulikuwa na timu 2 kubwa nitajie kwenye kundi lenu la Kikoba ni timu gani ilikuwa kubwa?
 
1-1

Shida ni nini?

Shida sio game ya Congo, shida ni kwamba kundi lilikuwa gumu kwasababu kulikuwa na timu 2 kubwa nitajie kwenye kundi lenu la Kikoba ni timu gani ilikuwa kubwa?
KWenye kundi zinapita timu ngapi?
Sasa ugumu uko wapi hapo?? Haya wewe na Colombia timu ipi ilikuwa inastahili zaid nafasi ya kwanza??
Mmeshindwa kuipata nafasi ya kwanza kwa uzuzu wa Ronaldo ila pro Ronaldo mnalificha hili.
 
Umewaza vizuri, ila haukutakiwa kuishia hapo. Umesahau kulikuwa na Colombia ofsa?

Sasa hata hizo mechi tungeshinda bado tungeishia kuwa na point 7 ambazo ni sawa na Colombia na hii ndio ilikuwa inaonyesha jinsi gani kundi hili lilikuwa na ushindani.
Bado unazidi kuwa slow zaidi, hizo timu vibonde kama wangezifunga goli nyingi wangeongoza kundi. Sijahesabia Colombia sababu Colombia sio kibonde na alipata draw, hivyo Portugal walipaswa kupiga nyingi hao congo na Uzbekistan

Kulikua na ugumu gani Portugal kupiga congo goli hata 3 au 4?
 
Back
Top Bottom