2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kwa faida ya waliolala mapema jana, mchezaji bora wa mechi alikuwa Mbuzi
IMG_0872.jpeg
 
Wanakuja kusema eti wafrika hawana akili ya mpira.
Haya England naye amefanya kama Senegal kama Egypt.
Mi huwa nakataa hilo la kwamba akili hatuna. Akili ipo ila kinacho gharimu ni kuridhika haraka.

Na hata hii ya kushikilia bomba huwa si kila mtu anaweza akalishikilia mpaka mwisho.

Miaka hiyo Italy ndo alikuwa bingwa wa kupaki basi na ilifikia hatua akawa amewaambukiza hadi Inter Milan na AC Milan kule Champions League. Yaani walikuwa wakikupakia basi ujue hiyo ni mwanzo mwisho.
 
Imenikumbusha Inter Milan ya 2010 nusu Fainal na Barcelona kama sikosei Mourinho mechi zote mbili alipaki bonge la basi dakika zote na akapita , kwangu Mimi ile ndio basi Bora kuwahi kupakiwa katika ulimwengu wa soka.
 
Back
Top Bottom