Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,193
- 126,593
Hahahaaa. Nimecheka sana Mtani.Tunyooshe mkuu
Hivyo umejiamulia kutupa taulo. 😂😂
Hahahaaa. Nimecheka sana Mtani.Tunyooshe mkuu
TBC forever japo Quality ya Tecno Y3 nakomaa hivyo hivyo , mechi za makundi nilikuwa naStream na WiFi ya chuo sasa nimerudi mjini ni TBC tu wasionyesha ndio nitaenda Banda umiza.Utaangalia kupitia TBC?
Okay je kwa shemeji utaondoka lini🤪TBC forever japo Quality ya Tecno Y3 nakomaa hivyo hivyo , mechi za makundi nilikuwa naStream na WiFi ya chuo sasa nimerudi mjini ni TBC tu wasionyesha ndio nitaenda Banda umiza.
Nitafanya maamuzi baada ya Kombe la Dunia kuisha , baada ya kombe la dunia nitapumzika kwa mwezi mmoja nikifkiria ofa zilizokuja mezani kwangu maana nina ofa nyingi nono mezani kama Olise kwa sasa 🙃Okay je kwa shemeji utaondoka lini🤪
Ila Adriz dah 🤣🤣🤣Nitafanya maamuzi baada ya Kombe la Dunia kuisha , baada ya kombe la dunia nitapumzika kwa mwezi mmoja nikifkiria ofa zilizokuja mezani kwangu maana nina ofa nyingi nono mezani kama Olise kwa sasa 🙃
1. Nioe kwanza
2. Nikalime Kijijini
3. Nifanye kazi ya kuajiriwa bongo
4. Nikatafute maisha nje ya bongo (Europe, Uarabuni)
Kumbe huwa unakunya maboga unazani na mimi nooo.
Ok Mrembo Numbisa ngoja niache kuchat na wewe cuz huna cha_kunambia naona unapiga umbea tu.
Sisi mbeleko fc tupo fainali and we make a another big history and you have nothing to proud off zaidi ya umbea umbea tu.
Pole sana Numbisa View attachment 3629973
Teh teh 😃 😃😃 😃Hii mechi ingekuwa ni sisi Ufaransa tungeimaliza kitambo sana
Argentina wanakutana na vibonde
Mkuu kila mtu alikua anasema hivo hivo kuhusu Bayern mwaka huu, ila mm niliwabisha hawabebi uefa. Nakuambia hapa hafiki Final. Atabondwa na timu ya kawaida tu. Hua sishabikii kitu kinachopendwa na wengi ever!
Kwa hatua WC iliyofika now nabaki na timu mbili tu. Spain na Argentina naamini hawa wanaweza kufika mbali. Let see.....
Duh!...Fainal ya Kombe la Dunia 2010 ndio ilikuwa mara ya kwanza na ya mwisho kushabikia Spain sasa narudisha majeshi Spain , niliishabikia Spain sababu Netherlands alimtoa Brazil ambayo ndio timu yangu Spain akanilipia kisasi.
Argentina alicheza na Kauzu Fc ya Tandika Mimi nipo Kauzu , popote alipo Argentina Mimi namkataa , natumaini Spain hatoniangusha siku hiyo
Spain tuna jambo letu🔥🔥🔥🔥🔥Teh teh 😃 😃😃 😃
fainali Argentina atacheza na kibonde mwingine yaani 'Hispania'.,
Teh teh 😃 😃 😃 akifungwa na huyo itabidi muhame majumbani mwenu...Spain tuna jambo letu🔥🔥🔥🔥🔥
🤣🤣🤣🤣🤣Acha kabisa! Hapa siwezi hata kusimama sijui miguu imekufa ganzi.
Haya mamipira yatatuua
Ufaransa tunajipanga kivingineTeh teh 😃 😃 😃 akifungwa na huyo itabidi muhame majumbani mwenu...
IkefweeeKuna watu humu huwa hawaingii kwenye huu uzi ila wakiona tu Argentina imefungwa basi wanajaa humu kibao. Ngoja niwaite wabaya wetu, team roho mbaya waje waone shoo za mungu Messi... Naomba leo afunge goli moja tu
Numbisa huyu ndo certified hater
Espy_
Makiwendo
Shadeeya
Angel Nylon
Depal
Wengine nimewasahau...
View attachment 3629780View attachment 3629781