Vilomo lomo hawa.Akileta kuna 600 yako ya pepsi
Furahia ushindi😀😀Kweli mkuu
Argentina labda uwe unaogoza 5-0 ndo labda wanaweza wasiweze kurudisha magoli……na hiyo itategemea na aina ya mchezo unaoucheza.Ukisikia blander ndio hii ya bwana tuchel sasa wee unaingiza mabeki dhidi ya timu kama argentina sii kukaribisha mashambulizi tuu.
If there is one thing hii tournament has taught us is that unapo paki bus lazima dakika za jioniiii ulie tuu. Katika level hii teams are very gud watakuadhibu. Bora utumie nguvu zako kuendelea kushambulia ila sio kulinda goli.
Anyways sasa jpili tuna final ya ukweli ukweli. Hawa argentina hii never die attitude yao kiboko ila spain atapata goli
Amezingua sana huyo mjerumani pori, atakuwa amezaliwa Ujerumani Mashariki huyoUkisikia blander ndio hii ya bwana tuchel sasa wee unaingiza mabeki dhidi ya timu kama argentina sii kukaribisha mashambulizi tuu.
If there is one thing hii tournament has taught us is that unapo paki bus lazima dakika za jioniiii ulie tuu. Katika level hii teams are very gud watakuadhibu. Bora utumie nguvu zako kuendelea kushambulia ila sio kulinda goli.
Anyways sasa jpili tuna final ya ukweli ukweli. Hawa argentina hii never die attitude yao kiboko ila spain atapata goli
Wasingefunga tu..ndio kosa lao😀😀Wachazaji mbona anao wakushambulia....unajua mentaly unavyoingiza mabekinbasi wachezaji nao wanamuwa na attitude ya kulinda....wee mwnzio anaingia washambuliani wewe umekaa unakodoa macho tuu
Kaka mkubwa, La Pulga tunae na tunatamba nae.VICHAKA VYOTE VIMECHOMWA MOTOOO🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏿🙌🏿
Fainali ni ARGENTINA A VS ARGENTINA B.
🔥🔥🔥🔥UmetishaKuna watu wanafikiri baada ya England kutolewa labda ntakosa team,.nataka niwatoe hofu kwamba kwa sasa nipo Argentina
Tukutane tarehe 19, saa nne usiku
Viva Argentina 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kama majini jamaa..kuna Sub zinaingia unaona kabisa hawana muda wa kuchezea..Depal alivyoingia ,L.Martinez unaona kabisa Messi anajua huyo jamaa vichwa hakuachiArgentina labda uwe unaogoza 5-0 ndo labda wanaweza wasiweze kurudisha magoli……na hiyo itategemea na aina ya mchezo unaoucheza.
Vichaka vimewaka na Petroli😀😀Kaka mkubwa, La Pulga tunae na tunatamba nae.
Hii WC 2026 analibeba tena haters waje kuf* na vihoro kabisa.
#Hallelujah!!!
Coach kapewa hela na Raisi wa FIFA😀😀😀😂🤣😅 leo mmesahau kumlau Refa mna mlaum Coach, nyie wajukuu wa kikongwe penaldo mna vituko.
Sasa coach kosa lake likowapi, yeye kaongeza mabeki wakacheze na kukaba, kufeli kwao maana yake wana uwezo mdogo, nyie hii World Cup hakuna wa kumzuia Messi 🐐
Kilo chako kimesikikaBora tu England atoke, ana uwezo mdogoo...ht beki yake ni ya kubabaisha tu🤣