2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

IMG-20260716-WA0028.jpg
IMG-20260716-WA0029.jpg
What a Messy year for Ronaldo's fans 😂 💔
 
England anaenda kubeba hii world cup baada ya miaka 60 toka 1966 sasa 2026 anachukua world cup ya pili ....Viva England 🔥🔥🔥
Mwanetu upo na hali gani huko? Umejichimbia wapi mwanetu bado unasonya?

Argentina anabeba tena Ndoo, Spain mbele ya Argentina hatoboi

Nipo hapa

Usisahau hii nimesema mimi sio wewe.
 
Back
Top Bottom