Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,195
- 49,962
Kabla yake wamepita nyota wengi sana na baada yake watakuja wengi wazuri..Naisikitikia Argentina baada ya Messi itakuaje.
Argentina haijawahi kukosa vipaji na mafundi wa Mpira..
Kabla yake wamepita nyota wengi sana na baada yake watakuja wengi wazuri..Naisikitikia Argentina baada ya Messi itakuaje.
Ondoka hisia, enjoy soccer. Vinginevyo utakua unajiumiza tu bure
Mkuu, morocco kuondolewa iliniuma sana, ndio the second team kushabikia in the world baada ya ArgentinaAll the best Morocco
Correction:Ila maisha bana 🤣.
Hii siyo AI. Ni picha ya kweli kabisa.
Hapo ni Messi akipiga picha na Lamine Yamal akiwa kama vile anamuogesha.
Nadhani ilikuwa mwaka 2005.
Jumapili wanakutana MetLife stadium kama ma superstar wa timu zao katika fainali za kombe la dunia 2026!
View attachment 3630710
Shukran jazilan 🙏 kwa masahihisho.Correction:
Mkuu, Lamine Yamal kazaliwa 14/7/2007. Hivyo, hawezi kuwa 2005, labda picha ilipigwa 2007 au 2008 mwanzoni.
Ila maisha bana 🤣.
Hii siyo AI. Ni picha ya kweli kabisa.
Hapo ni Messi akipiga picha na Lamine Yamal akiwa kama vile anamuogesha.
Nadhani ilikuwa mwaka 2005.
Jumapili wanakutana MetLife stadium kama ma superstar wa timu zao katika fainali za kombe la dunia 2026!
View attachment 3630710
😂😂😂Mpaka watubu mtani😂
Atamwachia mikoba yote siku hiyo
Siamini kama umetumia akili kuandika hiki uliachoandika. Very average, nilihisi wewe ni mtu humbleNick punguza kiherehere inaonekana baada ya kuchapiwa akili imeisha kabisa una ID NGAPI?
SahihiKabla yake wamepita nyota wengi sana na baada yake watakuja wengi wazuri..
Argentina haijawahi kukosa vipaji na mafundi wa Mpira..
Siamini kama umetumia akili kuandika hiki uliachoandika. Very average, nilihisi wewe ni mtu humble