Patamuuuu!!!MESSI asipowafunga goal atatoa assist awamalize kiroho mbaya. Kwahiyo uchaguzi ni wako afunge goal aongeze rekodi ya dunia au atoe assist aongeze rekodi ya dunia.
Safii fire 🔥Ameunga Harry Kane!!!
Kuna watu humu huwa hawaingii kwenye huu uzi ila wakiona tu Argentina imefungwa basi wanajaa humu kibao. Ngoja niwaite wabaya wetu, team roho mbaya waje waone shoo za mungu Messi... Naomba leo afunge goli moja tu
Numbisa huyu ndo certified hater
Espy_
Makiwendo
Shadeeya
Angel Nylon
Depal
Wengine nimewasahau...
View attachment 3629780View attachment 3629781
Sio shida kuwa shabiki wa CR7 cuz ni mchezaji mzuri sana kila mtu Duniani anatambua hilo.
Shida ni wewe pusi mnuko kuja kuandika ujinga hapa na kumdharau Messi na Argentina 🇦🇷.
Dah hakuna hata aliyewashuhudia wakitwaa ubingwaEngland ilishinda World Cup mwaka 1966. Hawajawahi kushinda tena.
Mechi ile ya misri wa Argentina walinifanya niaibike sana Ndiyo maana nikatoa huo ukumbusho mkuuPunguza unyonge mkuu mpaka hapo watakaposhinda, lakini kwa sasa lazima tuwanyamazishe hapa
Noma sana..Naona Messi amepunguza Noise Pollution, kuanzia humu kwenye jukwaa mpaka mitaani.
Hatari huyu binadamu...
Fainali ya 3 hii ya La Pulga ....Argentina kama sisiem kmmk
Ha wanakua wasumbufu sana hawataki kuibiwaKipindi gani tena?
Muda wa kwenda kwa wahindi huu.
Muongeze uran na ShesRise_1 wakae mbali na spainScars Usije kushabikia Spain utailetea mikosi.
Mashabiki wote wa Portugal wakimbizi kaeni mbali na Spain mtatuletea mikosi
Kumbe huwa unakunya maboga unazani na mimi nooo.Shosti pole sana. Halafu sasa sikumbuki kukuquote wewe,yaani unawashwa washwa sana na pia ni kama ulipania kuchat nami aiseeeeeeee hapo ulipo roho kwatu kuchat na numby. Mbeleko fc. Ikikuuma kanye boga
Umeamkaje mremboJamani
Tuna Mwalimu
Anaitwa Tuchel Thomas
Mwalimu wa mpira huyo, siyo Mwalimu wa mafunzo karate😂😂