2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Nyie mnabishana kuhusu timu kupangwa kwenye makundi. Kama mliangalia jinsi ya draw za kupanga timu kwenye hii World Cup 2026 hiyo isingekuwa point of discussion. Ilirushwa LIVE na wakuu wa nchi husika yaani USA, Mexico na Canada wakiwepo. Majina ya nchi yalikuwa yamewekwa kwenye vitufe na vinachanganywa hapo mtu anaingiza mkono anachukua kimoja na kusoma jina la nchi husika.

Nchi zilipangwa kwenye 4 groups kulingana na ranks. To make it short HAKUKUWA na uwezekano wa kuipangia nchi timu dhaifu!!!
Hawana hoja hao ..hawajui Mpira..sasa hivj wanasema Coach kahongwa😀😀😀😀😀
 
Na kulalamika kua hapewi pasi,
Argentina huwezi kusikia malalamiko kua Messi hapewi pasi coz yeye ndiye anaye wapasia.
Hilo sio tu fungaji ni li Player Maker..kuna kima zile zilikuwa zinabwabwaja😀😀😀
Messi ni Mpira na Mpira ni yeye..

Waliohamia SPAIN wajipange...

Nimefurahi sana mana Misri si alionewa wakatuma vijola Uingereza😀😀😀
 
Kwa faida ya waliolala mapema jana, mchezaji bora wa mechi alikuwa Mbuzi
IMG_0872.jpeg
 
Back
Top Bottom