moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,367
- 775,926
Tafuta japo moja uipende kwa mudaTimu nisizozipenda ndio zinaenda final
Tafuta japo moja uipende kwa mudaTimu nisizozipenda ndio zinaenda final
From where Sir😀😀"I'm back" by Penaldo 😂😂
England anaenda kubeba hii ndo kwa mara ya pili
Nadhani umeona nani ni the REAL GOAT!!!
Mzee mkubwa nilikwambia timu ambayo ingeweza kuwazuia Argentina ni Norway, ulihisi nacheza bao sio😂😂😂Timu nisizozipenda ndio zinaenda final
Walikuwa wanatucheka aie waafrica kuwa hatujui shikilia bomba....haya mkoloni orijino yamekuta 🤣🤣🤣🤣Argentina labda uwe unaogoza 5-0 ndo labda wanaweza wasiweze kurudisha magoli……na hiyo itategemea na aina ya mchezo unaoucheza.
Fala solth ndio alizingua mpaka england kupitaMzee mkubwa nilikwambia timu ambayo ingeweza kuwazuia Argentina ni Norway, ulihisi nacheza bao sio😂😂😂
#Hallelujah!!!
Mie ningemfuta kazi kabisa wee sub gani zileAmezingua sana huyo mjerumani pori, atakuwa amezaliwa Ujerumani Mashariki huyo
Scars kachanganyikiwa!!! Achana naye!!! Sasa hivi sijui ana hali gani!!!!😄😄😄😄Saka naye ni goti?
Mpaka sasa ana goal na assist ngapMessi anamaliza mashindano kama top scorer na top assister
Mabao 5 asisti 4Mpaka sasa ana goal na assist ngap
Bado, goals za playoff ya mshindi wa tatu zinahesabiwaMessi anamaliza mashindano kama top scorer na top assister
Mkuu sikupingi 🫡✌🏻Mwanetu upo na hali gani huko? Umejichimbia wapi mwanetu bado unasonya?
Argentina anabeba tena Ndoo, Spain mbele ya Argentina hatoboi
Nipo hapa
Usisahau hii nimesema mimi sio wewe.
Mkuu,Aibu utaona wewe
Hata kama hakuna wa kumfikiaBado, goals za playoff ya mshindi wa tatu zinahesabiwa
Nyie mnabishana kuhusu timu kupangwa kwenye makundi. Kama mliangalia jinsi ya draw za kupanga timu kwenye hii World Cup 2026 hiyo isingekuwa point of discussion. Ilirushwa LIVE na wakuu wa nchi husika yaani USA, Mexico na Canada wakiwepo. Majina ya nchi yalikuwa yamewekwa kwenye vitufe na vinachanganywa hapo mtu anaingiza mkono anachukua kimoja na kusoma jina la nchi husika.Mbona Portugal kashika nafasi ya pili? Maana ulizungumzia Ranking, nimekuomba Ranking ya kundi la Ureno hukunipa then ili tucompare na Argentina.Tusiende mbali okay weka timu za kundi la Spain.