moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,863
- 777,112
🤣🤣🤣 mbwa wako wapo mkuuNyie mbwa mpo🤣🤣
🤣🤣🤣 mbwa wako wapo mkuuNyie mbwa mpo🤣🤣
🤣🤣 Wedikap sio mtracolHiyo haitaondoa uhalisia kwamba BABU WA KIRENO HANA WEDIKAP
Ndio kinawauma mashabiki wa babu hicho🤣🤣 Wedikap sio mtracol
Argentina wapigwe kama nyoka🤣🤣🤣🤣Wapige kichwani bado wanapumua
Thubutu😂😂Hatuna pressure malkia lazima tumle
Subirini harry Kane awamalizie kuwafukia na chepe la mchanga wa mwishoHatuna pressure malkia lazima tumle
Punguza unyonge mkuu mpaka hapo watakaposhinda, lakini kwa sasa lazima tuwanyamazishe hapaNawahasa ndugu zangu tusiowapenda Argentina tusubiri mpaka kipyenga cha mwisho
maana hawaeleweki hawa muda wowote wanafufuka
Inashangaza sanaUingereza wameanza utoto.
😂😂England wamlinde sana Messi nao wapate ubingwa, anawapukuchua sana mabeki wao