Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,539
- 61,986
“Sioni wa kumzuia Ufaransa kuchukua kombe la dunia mwaka huu”
🤒Spain 2. -0 france
Sio shida kuwa shabiki wa CR7 cuz ni mchezaji mzuri sana kila mtu Duniani anatambua hilo.Takataka ukoo wako. Nendeni mkaokote makopo mpate chakula,kumchukia Goat CR7 haikupi shibe shostie
Olise amekuwa favoured na refa hilo ni kweli, na pengine ulitegemea kuona mimi nikibisha ili upate cha kusema lakini imekuwa tofauti.So leo FIFA na Infantino walimfevor Olise.
Halafu hujanijibu hili swali,maana picha ya tatu umepost wewe.
"Nimekuuliza Argentina alicheza na Uholanzi 2026,maana picha ya tatu ni beki ya Uholanzi Ake na hapo ilikuwa kwenye boksi la Uholanzi bila shaka, sasa wewe ulitakaje kwenye hiyo picha refa afanyaje."
2022 hiyo moja ya tukio tata sana kwenye mechi kati ya Netherlands na Argentina.So leo kulikuwa na favor kwa Olise?(Natumia mtizamo wako)
Nimekuuliza Argentina alicheza na Uholanzi 2026,maana picha ya tatu ni beki ya Uholanzi Ake na hapo ilikuwa kwenye boksi la Uholanzi bila shaka, sasa wewe ulitakaje kwenye hiyo picha refa afanyaje.
Nikitumia pattern unazo tumia wewe basi hata kwa Olise ni vilevile tu anabebwa na FIFA na Infantino.Olise amekuwa favoured na refa hilo ni kweli, na pengine ulitegemea kuona mimi nikibisha ili upate cha kusema lakini imekuwa tofauti.
FIFA na Infantino ni watu ambao wana ushikaji wa kibiashara hadi kishabiki.
Infantino anaumia Argentina kufungwa, je hili unalijua? (Nataka ujibu hapa)
FIFA tayari wanahusishwa kwenye kashfa ya utakatishaji fedha ambao umefanywa na Claudia Tapia, je unafikiri hii ni bahati mbaya?
Incident ya Olise huwezi kuielezea kwa kuunda pattern hizi ambazo mimi nakuwekea.
Achana nae huyo hajui mpira, anampenda Ronaldo kwa kuwa ni mzuri wa sura 😂😂Sio shida kuwa shabiki wa CR7 cuz ni mchezaji mzuri sana kila mtu Duniani anatambua hilo.
Shida ni wewe pusi mnuko kuja kuandika ujinga hapa na kumdharau Messi na Argentina 🇦🇷.
Onyesha mtiririko wa hizo pattern sio unaongea tu.Nikitumia pattern unazo tumia wewe basi hata kwa Olise ni vilevile tu anabebwa na FIFA na Infantino.
Halafu hii picha nimekuuliza unafanya kama huioni,wakati umeileta wewe.
View attachment 3629432
Nimekuuliza Argentina alicheza na Uholanzi world cup hii ya 2026?,maana picha ya tatu ni beki ya Uholanzi Ake na hapo ilikuwa kwenye boksi la Uholanzi bila shaka, sasa wewe ulitakaje kwenye hiyo picha refa afanyaje.
Nimekujibu kwenye post iliyofuata soma vizuri tena.Nikitumia pattern unazo tumia wewe basi hata kwa Olise ni vilevile tu anabebwa na FIFA na Infantino.
Halafu hii picha nimekuuliza unafanya kama huioni,wakati umeileta wewe.
View attachment 3629432
Nimekuuliza Argentina alicheza na Uholanzi world cup hii ya 2026?,maana picha ya tatu ni beki ya Uholanzi Ake na hapo ilikuwa kwenye boksi la Uholanzi bila shaka, sasa wewe ulitakaje kwenye hiyo picha refa afanyaje.
Sawa Mkuu sasa nimeelewa ndiyo maana haka ka_bichi kanaandika ujinga ujinga humu ndani.Achana nae huyo hajui mpira, anampenda Ronaldo kwa kuwa ni mzuri wa sura 😂😂
Wewe si unasema Messi anabebwa na FIFA pamoja na Infantino kisa alimkanyaga mchezaji wa Algeria, so hii ndio pattern iliyo tokeo leo vipi Olise nae anabebwa na FIFA pamoja na Infantino.Onyesha mtiririko wa hizo pattern sio unaongea tu.
Umeona kama hapo mimi nimekuanzia mbali tangu 2022
Na ninaweza kukuambia hata kipindi Messi anatangaza kustaafu nikakuungia dots zinazo link na hii corruption ambayo tunaiona saizi.
Oya.....bado nasubiri kuonaSubirini uone
Anayeweza kuwazuia ufaransa ni spain tu. Anawabonda vizuri sana. Bayern mwaka huu ilikua hivohivo ukikutana nayo unapigwa nyingi ila uliona walivyokutana na aseno. Walipigwa tatu kama wamesimama
Mwaka huu huu hicho kikosi kikiwa ndani wamekula chuma tano toka spain tena yamal kidogo atupie hat trick. Kwenye uero tena wamebondwa. Note this France hachukui kombe. Hua sikosei jama. Nitarudi kuwakumbusha