Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 3,270
- 9,177
MESSI asipowafunga goal atatoa assist awamalize kiroho mbaya. Kwahiyo uchaguzi ni wako afunge goal aongeze rekodi ya dunia au atoe assist aongeze rekodi ya dunia.
Unasemaje mkuu?Ndo mpira wa kingereza huo,hata mexico alimiliki sana lakini aligongeshwa,na huyu argentina anagongwa leo,na fainali spain anagongwa......England wanataka matokeo hawataki showoff
YametimiaWatake wasitake wataachia tu😂 ni suala la muda
Leta takwimu mkuu.Dakika ya 70 messi hajapiga hata off target 😃😃😃😃😃😃
Ronaldo anastaafu soka kwa maumivu makali sana, yeye na mashabiki zakeWale wa Portugal migration tusikate tamaa hili kombe ni letu Spain watatuheshimisha
Ukiona hivyo ujue anatembea na nuksi mwiliniMzee nawewe leo upate hata Raha maana unabadili timu mpaka huruma
Imekula kwakeUkiona hivyo ujue anatembea na nuksi mwilini
Akileta kuna 600 yako ya pepsiLeta takwimu mkuu.
Walinibeza hapaYametimia
Ila Argentina wanainyanyasa sana EnglandHapana, waliishia 16 bora.
Walitolewa na Argentina kwa matuta
😂😂Hii ni England msilete habari za Egypt hapa. Ukizungumzia England unazungumzia top 4 best international football club
Hahahaaa.Acha kabisa! Hapa siwezi hata kusimama sijui miguu imekufa ganzi.
Haya mamipira yatatuua