The ghost writer
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 781
- 1,602
Leo Argentina anakwenda kupakia dk 90. Akitegemea counter attack huo ndio mwisho wake yule andunje kashaisha Hana mbio labda Alvarez
Namm naliona hili duh....England anaenda kubeba hii ndo kwa mara ya pili
Kombe la Spain.England anaenda kubeba hii ndo kwa mara ya pili
Argentina wamezoea vurugu
Hamna vurugu. Pressure tu. Baada ya dk 15 hali itatulia, na tutaanza kuona kandanda.Argentina wamezoea vurugu
Nyingi ngapi?Bado unazidi kuwa slow zaidi, hizo timu vibonde kama wangezifunga goli nyingi wangeongoza kundi. Sijahesabia Colombia sababu Colombia sio kibonde na alipata draw, hivyo Portugal walipaswa kupiga nyingi hao congo na Uzbekistan
Kulikua na ugumu gani Portugal kupiga congo goli hata 3 au 4?
We jamaa kazi ya uwakili unaiweza.Hamna vurugu. Pressure tu. Baada ya dk 15 hali itatulia, na tutaanza kuona kandanda.