Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,025
- 126,002
Eti eeeh!Hapana hatuwezi kufuta kauli maana kucheza na Messi sio kipimo labda ingekuwa timu nyingine isiyo na Messi
Eti eeeh!Hapana hatuwezi kufuta kauli maana kucheza na Messi sio kipimo labda ingekuwa timu nyingine isiyo na Messi
Wanaloga sana
Vipi mkuu unaishia hapa na England yako au unaazima timu nyingine kama wenzio wa Ureno?Asante.
Mpira unaumiza sana
Basi baki ufuatilie mchezo wa kusaka mshindi wa tatuTimu nisizozipenda ndio zinaenda final