Hii ndo maana halisi ya mtoanoNaona England 🏴 na Argentina 🇦🇷 wameanza kucheza shaulini soccer ⚽️.
Naona kama tutaendaWamalizane tu mapema. Wasitupeleke 120
We unataka mtiririko gani mjomba,hili ndo soka zuri,ni mwendo wa kuperekeana moto tu hakuna kupiga vipasi mchele mchele kama vya spainmechi bado haina mtiriko mzuri, kwa hizi dakika 30
Fita ni fita muraaaaaArgentina wamezoea vurugu
Utulivu ziroHuyu mtoto wa Simion ana energy ya hali ya juu , anapress sio poa.
Huu ni mpira sio dhumnaMtu mzima yuko hoi au mbona anakaa chini???