adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,627
- 7,843
Mkuu hakuna ndoto England kwa namna yeyote nilisema jana hawana uwezo wa kumzia Messi..angalia jinsi alivyokuwa akifanya..Eti Kane anamkaba Messi ni akili hizoIla ni kama ndoto😂😂
Mkuu hakuna ndoto England kwa namna yeyote nilisema jana hawana uwezo wa kumzia Messi..angalia jinsi alivyokuwa akifanya..Eti Kane anamkaba Messi ni akili hizoIla ni kama ndoto😂😂
Lijinga kabisaKocha pumbavu zake
Kocha kabugi big timeMkuu hakuna ndoto England kwa namna yeyote nilisema jana hawana uwezo wa kumzia Messi..angalia jinsi alivyokuwa akifanya..Eti Kane anamkaba Messi ni akili hizo
Habari yako kaka 🤣🤣😜Hii ni England msilete habari za Egypt hapa. Ukizungumzia England unazungumzia top 4 best international football club
Watakuja nazo tu hawakosi sababuTusisikie habari za kubebwa hapa.
Tusishangae Argentina anabebaAmna timu ya kumzuia spain apa
Hakuwa na mbinu zaidi ya hiyo mbele ya Messi..Kocha kabugi big time
Kabisa hii mechi mie kama ningekuwa GS wa The Fa, lawama zote kwa bwana tuchel. Subs gani zile unafanyaKocha pumbavu zake
Spain Yamal ajue kuwa Idol wake hana mchezo zitapigwa pasi ngumu ngumu wakileta utoto..Jamaa ni makatili mnoTusishangae Argentina anabeba
Kweli mkuuMkuu hakuna ndoto England kwa namna yeyote nilisema jana hawana uwezo wa kumzia Messi..angalia jinsi alivyokuwa akifanya..Eti Kane anamkaba Messi ni akili hizo
Scars huwa analalamika kila kitu huyu jamaa 🤣🤣Niseme tu kwamba huyu bwana ni mchawi. Duuuh.
Scars tupe uchambuzi tafadhali
Wachazaji mbona anao wakushambulia....unajua mentaly unavyoingiza mabekinbasi wachezaji nao wanamuwa na attitude ya kulinda....wee mwnzio anaingia washambuliani wewe umekaa unakodoa macho tuuHakuwa na mbinu zaidi ya hiyo mbele ya Messi..
Vilomo lomo hawa.Akileta kuna 600 yako ya pepsi
Furahia ushindi😀😀Kweli mkuu
Argentina labda uwe unaogoza 5-0 ndo labda wanaweza wasiweze kurudisha magoli……na hiyo itategemea na aina ya mchezo unaoucheza.Ukisikia blander ndio hii ya bwana tuchel sasa wee unaingiza mabeki dhidi ya timu kama argentina sii kukaribisha mashambulizi tuu.
If there is one thing hii tournament has taught us is that unapo paki bus lazima dakika za jioniiii ulie tuu. Katika level hii teams are very gud watakuadhibu. Bora utumie nguvu zako kuendelea kushambulia ila sio kulinda goli.
Anyways sasa jpili tuna final ya ukweli ukweli. Hawa argentina hii never die attitude yao kiboko ila spain atapata goli