Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,535
- 61,968
Mashabiki wa Ronaldo kwenye fainal watachagua wawe upande upi kati ya Spain au Argentina
Ya kibabe sana!!Come back ya kibabe
Hahahaaa. Lol.Messi yupo tunachezaje mshindi wa tatu
Mkuu sema neno basi😂😂sijakuzoea hiviWe subiri mshindi wa tatu mkuu, huku hupawezi
Yaani Mtani sikupanga kuandika saa hii ila imebidi leo. 🤣🤣
SanaDuh!! Hawa Argentina hatari sana