Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,911
- 236,443
Wachezaji wa England wapumbavu sana.Eti sasa hivi England ndo wanashambulia 🤣🤣
Yamejazana nyuma yote,hakuna kitu yanafanya
Pumbavu sana
Wamshukuru sana Huyu Golikipa maana bila yeye wangekunywa goli nyingi sana.
Tukutane final
Team Spain🔥