adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,583
- 7,753
Hawana mbwinu😀Wamezuia sana aisee
Hawana mbwinu😀Wamezuia sana aisee
Acha kuangalia mpira Sofa scoreHii michezaji ya England ikitoka hapo ni kunyuka fimbo tanotano
Kasoro kipa tu
Wapuuzi hawa
Sisi kesho tuna shughuli zetu
Hatuwezi kupoteza dakika 120 zote
Wakati mechi ilikuwa iishe mapema tu.
Kocha mpuuzi kabisaWakiendelea kubaki nyuma wataongezwa dakika za mwisho kabisa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unaugulia maumivu ukiwa wapi😃
England 1
Kocha waoHivi nani amewashauri England wapaki bus??🤣🤣🤣
Wanataka watucheleweshe kulala tu bora 90' zimalizeKatoa washambuliaji kaweka beki na goli zinerudi , tushike mbupu tu
Ewaaaaaa!!!Nipo hapa najikia pweza kwa mrija
Hahahaa. Kabisa Mtani.Mtoto mdogo halali na hela mtani
NilisemaUingereza itarudishiwa goli muda si mrefu