UhakikaIla wakiendelea na defence, wanalia Sio Muda.
Umemsifia sana antaharibu ushindi wake pande tuTuchel haoni watoto wake kama wameshatepeta humo ndani?
Afanye sub
Unaugulia maumivu ukiwa wapi😃Tuma salamu kwa watu watatu
Ameshaanza kuniboaUmemsifia sana antaharibu ushindi wake pande tu
Sijui anataka tufungwe Kwanza huyu MzeeKocha wa Uingereza anasubiri nini kufanya sub
Saka anapaka sana rangi sometimes. Rashid angesumbua pale mbele. At least pressure haiwi kubwa tu upande wa lango la England.Kwanini Tuko hafanyo sub kuongeza nguvu kama Rashford na Saka