MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 1,515
- 2,591
HatoboiWanaweza kulegezeana
Spain na Argentina wakikutana ni mechi ya kindugu.
Hata humu ndani watashindwa waende na na nani ila kwasababu Dwarf ndio waliyeanza naye tangu 2022 nadhani huyo ndio atakuwa priority.