moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,368
- 775,926
Hakuna lisilowezekana chini ya juaso bwana tuchel kuweka history kuwa the first foreign coach to win a world cup
yetu macho
Hakuna lisilowezekana chini ya juaso bwana tuchel kuweka history kuwa the first foreign coach to win a world cup
yetu macho
Mbappe vs Kane.Final
Messi Vs Lamine
Mbappe na barcola wanapeleka moto siyo kitotoMtupe updates, nini kinaendelea, wengine tuko road sahv
Wana uhakika kwasababu wao kama Mzee Mpilu wana watuSpain na Argentina nyie mtacheza kumtafuta mshindi wa tatu
Haitakuwa hivyo.Binafsi natamani iwe hivi...
Ila yoyote atakayefuzu leo ni sawa tu...
Mechi imekaa kama fainali hii.
Tunashinda hii?So hapa hearly angesema ni no foul kwasababu mchezaji alitangulia kuucheza mpira
View attachment 3629318